Nahisi kama nimeingizwa chaka

hata usipatwe na msongo wa mawazo, wewe subiri mtoto azaliwe, kama ni damu yako utajua tu ukweli.
 
Mkuu hii kuwa nae muda wote itanisaidia nini kama ujauzito sio wa kwangu? Roho inaniuma sana.
 
Nishakata tamaa kabsa.
 
hata usipatwe na msongo wa mawazo, wewe subiri mtoto azaliwe, kama ni damu yako utajua tu ukweli.
Sawa, mkuu ila sitomuuliza chochote. Na sitaki kukutana nae kabsa.
 
We subiria mtoto azaliwe ndio utapata majibu kama ni wako au sio wako.
Swala la miezi kuzidi huwa inatokea wengine inapitiliza had 12
 
Kwani ultrasound haioneshi umri wa ujauzito?
Hili ndo solution...!! Japo hata ultasound inaweza isiwe specifi sana ila at least huwa inatoa majibu yenye ukwelii.. Pia uja uzito kufikisha miezi 10 ni possible sometimes mtoto anazaliwa ashakomaa kabisaaa ana nywelee na kila kitu.
 
Sawa mkuu ahsante kwa hilo, bado sijamwambia kitu chochote, na kwa sasa anaukataa mwezi tuliokutana, anadai tulikutana mwezi wa 8. Na wakati tulikutana mwezi wa 7 kwenye tarehe 25.
Huo Ni uoga tu wa kukataliwa,ingekuwa umeikuta hiyo mimba angeshajifungua.....Huoni Kama wewe Unakumbuka umeanza nae mwezi wa Saba yeye anajaribu kusema wa nane ili abalance kumbe kupitiliza Ni kawaida,akafanyiwe ultra sound ukute Anatakiwa kufanyiwa operation huyo
 
Hili ndo solution...!! Japo hata ultasound inaweza isiwe specifi sana ila at least huwa inatoa majibu yenye ukwelii.. Pia uja uzito kufikisha miezi 10 ni possible sometimes mtoto anazaliwa ashakomaa kabisaaa ana nywelee na kila kitu.
Ni kweli ultrasound sometimes inaongopa.
 
Nilikutana nae tarehe 25/07 na tarehe 30/08 ndo akaniambia anaujauzito wangu.
Mwanamke kugundua kuwa ana mimba ni wiki mbili tu, maana kutokea siku za joto mpk siku za damu huwa ni siku 14, kesi yako hii ina utata sana alikutana na mwingine baada yako akaona akuangushie mzigo,,,

Kwa hesabu za haraka hiyo mimba ina wiki 42 ambayo ni miezi 10 na nusu
 
Hili ndo solution...!! Japo hata ultasound inaweza isiwe specifi sana ila at least huwa inatoa majibu yenye ukwelii.. Pia uja uzito kufikisha miezi 10 ni possible sometimes mtoto anazaliwa ashakomaa kabisaaa ana nywelee na kila kitu.
Kuna rafiki yangu alipata ujauzito kutokana na birth control kufeli. Akawa anajua ujauzito utakuwa una week 12. Kuja kufanya ultrasound kumbe kitu kipo week ya 20. Maana yake ultrasound inaweza kuwa solution kwa case ya mtoa mada.
 
Mwanamke hua anatakiwa anifungue week ya 36 hadi 40. Ila ukiona kafika week ya 42 hajajifungua ndio hua wanfanyiwa induced labor. Haya calculate hizo week 40 ni miezi mingapi halafu uache kulialia na knowledge yako ya form 3 hiyo
 
Ahsante, lakini vip kama alifanya na mwingine mwezi wa nane mwanzoni?
 
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…