Nahisi nina gundu maana sipati mpenzi

Kula bange mdogo angu,Kula bange....achana na mambo ya Malaya sijui matako gani...
Hiyo hela unayopata kidogo,Kula pamba,msosi mzuri,simu Kali,nukia vizuri halafu Kula bange utaishi powa sana...

Niamini mdogo angu Kula bange
 


Tafuta pesa, dawa ya kunuka kwapa ni deodorant au perfume, ukinuka kwapa huna gundu shida huna pesa, dawa ya mvuto kwa wanawake ni pesa.
 
PESA ZIPO )pia wadada wengne huishia kuniita handsome lakini
nikiomb mahusiano tu kosa...im confused totally...
Una Pesa halafu unaomba Mahusiano? Ukiwa na Pesa hauombi unatembeza kibunda ndio ulimbo watanasa wenyewe yaan umeshindwa kuopoa hata Beki 3 kweli? Maana wanakuaga na upwiru wa kutosha ukigusa tu amejaa na hivyo una tupesapesa twa kumnunulia hata malapa na mafuta ya kupakaa utakimbia mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…