Nahitaji dawa nzuri ya kusisimua misuli ya uume kusimama mda mrefu bila kumwaga inayopatikana Pharmacy

Fanya mazoez ya kegel kijana achana na madawa
 
Mmepimana HIV? Sio unaenda kutafuta michubuko na umeme pia. Kanunue KAMAGRA.
 
Unataka DELAYED SPRAY AU VIDONGE VYA KUKU BOOST..


 
Wewe umeelewa vizuri sana.

Na ngono Haina haja ya kukomoana. Hainaga makombo, na Wala utamu haubaki kwenye kichwa kikuu.

Akishakauka ukeni wewe mwanamme jitahidi umwage uvae uondoke au umalize usubiri raundi nyingine.
 
Angalizo:usitumie hizo dawa kama demu haupo nae gheto,ukijitia ujuaji utapiga puli mpaka mkono uchomoke
Na akija afu akiwa mgonjwa akambania vile vile ? Bora tu afanye mambo mengine aachane naawazo ya mboyoyo.
 
Mzee hiyo haikomolewi..
Ukitaka mkamate, mpe penzi bora foreplay ya uhakika, akose hata nguvu ya kupumua vizuri.. kisha ichape vizuri sana, koroga akorogeke haswa, kisha pita hivi.. yaani baada ya kumalizq pale unapomuacha we vunga, simu ni mpaka apige yeye, akiileta tena, ichape vizuri kisha unavunga..
 
Fanya mazoezi,kula mlo kamili
 
Achana na hayo mambo ya pharmacy, kula sana mananasi halafu kabla ya show kunywa safari ndogo moja na nusu glass ya Kvant, ila hakikisha mmepima maana lazima umchubue, mkitoka hapo mnaenda kuuguza vidonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…