Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,780
- 4,504
Angalia usije rubuniwa na mapididi, ila wee tafta pesa au sio?Mimi ni kijana umri miaka 28 niko dodoma nasoma chuo kimoja cha afya.... tar 16 kuna mitihan ya ndan inafanyika na nmezuiwa kutoifanya kwasababu sijamaliza ada maana nlikua najisomesha mwenyew na kwasasa vitu vyangu vimeharibika . Hivyo nlikua nahitaj msaada wa kazi yeyote isipokua kuua tu au msaada wowote li nikamilishe ndoto zangu .Jina ni Jackson , control number DC2427081010483 na namba ya simu ni 0778039745.......asanteni
Kutoa kuua na ufiraji , na kuiba ila nyingn yeyote nafanya hata figo naweza uza
30kunamtaji wa shingapi kwani
Asante🙏🏻Kwanza pole sana lakini naamini Mungu ni mwaminifu atakuvukisha salama kutoka kwenye huo mkwamo. Jaribu mkopo na uwe na kitu cha dhamana chenye thamani ya zaidi ya hiyo pesa unayohitaji
Amina🙏🏻Hakika... Taifa linajivunia kijana mwenye fikra chanya kama wewe. inshaallah kwa uwezo wa Mungu jambo lako litapata kutatuliwa.
Maendeleo hayana chama.
Asante kaka, tuko pamoja🙏🏻Aaah ******** ningekuwa napesa ya kutosha ndugu yangu aki ya mungu ningekupatia pesa yote hiyo daah ila bless itapatikana tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nikipaliwa nikafa hap ...Mkuu amka usije ukanya kitandani
Asante sanPole sana
Nipo decca kakaMkuu upo john hapo...
Soon mambo yatakuja kuwa sawa
Asante sanaPole sana
Odds ngap hzoAndaa stake nikusukie kitu mdogo wangu....
Mwanangu mchawi sio lazima akuroge..Andaa stake nikusukie kitu mdogo wangu....
Kaka mkubwa hii nchi kila mtu anachanganyikiwa kwa wakati wake... Mchungaji kashanivuruga😂😂😂Mwanangu mchawi sio lazima akuroge..
Huu nao ni uchawi blood 🤣🤣🤣🫡
😁😁Kaka mkubwa hii nchi kila mtu anachanganyikiwa kwa wakati wake... Mchungaji kashanivuruga😂😂😂
Daaah oyaaa an mi unishauri kitu kuhusu muhindi dadek zake daah kajua kunikomesha za jamaaKaka mkubwa hii nchi kila mtu anachanganyikiwa kwa wakati wake... Mchungaji kashanivuruga😂😂😂
Pesa rahisi huwa sio rahisi kuipataDaaah oyaaa an mi unishauri kitu kuhusu muhindi dadek zake daah kajua kunikomesha za jamaa