Inoe Akili Vya Kutosha Kila Upatapo Nafasi Ya Kufanya Hivyo Kwa Maana Hata Silaha Ya Moto Inahitaji Utimamu Wa Akili Mnoo Ili Iweze Tumika Kiuhakika na Sio Silaha ya Moto Tu Ni Ya Silaha Ya Namna Yoyote Ile Unayoifahamu Inahitaji Utimamu Na Akili iliyonolewa Swafii,,,Nje Ya Hapo Mbona Yatakuwa Majanga Tuu###NoaAkiliKwanza###Hayajakukuta,ama hujishughurishi na michongo yenye kuvutia kuvamiwa,ikiwa hivyo utaona umuhimu wa kuwa na silaha ya moto
Nahitaji mafunzo physically na ninahitaji cheti cha umahiri ktk matumiziLakin kama unahis utachelewa ACHA uvivu ingia you tube
Songwe sehemu gani unapatikana?,chunya,ileje,mbalizi,tunduma,momba,mbozi,viwandani? Au wapi?Ukija songwe nicheck
Inahitaji kunifahamu kwanza ndio ulete huu mjadala,nje ya hapo hutaweza kuniondoa katika mantiki yangu kwamba nahitaji kujifunza kutumia silaha kwa usahihi,yamkini niakili imenipatia muongozo wakufanya maamuzi haya,otherwise I am sure you have nothing as a motive to me.Inoe Akili Vya Kutosha Kila Upatapo Nafasi Ya Kufanya Hivyo Kwa Maana Hata Silaha Ya Moto Inahitaji Utimamu Wa Akili Mnoo Ili Iweze Tumika Kiuhakika na Sio Silaha ya Moto Tu Ni Ya Silaha Ya Namna Yoyote Ile Unayoifahamu Inahitaji Utimamu Na Akili iliyonolewa Swafii,,,Nje Ya Hapo Mbona Yatakuwa Majanga Tuu###NoaAkiliKwanza###
Wee jamaa vipi? Kwani silaha ni kitu gani? Ni kitu chochote kuwezesha kujihami au kujilinda dhidi ya adui. Kisu, panga, wembe, jiwe, fimbo, n.k, vyote hivi ni silaha. Kwahiyo unataka kituambia hujui kutumia hata jiwe???Wakuu naomba anayefahamu taasisi zitoazo mafunzo ya matumizi ya silaha hasa binafsi kwa hapa Dar
Kujua kutumia kwako silaha kumekusaidia nini? Wana Chadema wanatekwa kila siku, Mbowe anaandamàna peke yake bila wewe mtandika kitanda mwenye silaha kumsaidia.Hadi leo hujui kutumia Silaha?
Haya!!Siku Njema Kwako.Inahitaji kunifahamu kwanza ndio ulete huu mjadala,nje ya hapo hutaweza kuniondoa katika mantiki yangu kwamba nahitaji kujifunza kutumia silaha kwa usahihi,yamkini niakili imenipatia muongozo wakufanya maamuzi haya,otherwise I am sure you have nothing as a motive to me.
Nenda duka la silaha, mzinga au tanganyikaarms. Chagua silaha unayoitaka, lipia.Wakuu naomba anayefahamu taasisi zitoazo mafunzo ya matumizi ya silaha hasa binafsi kwa hapa Dar
Mmmmmm cheti kabisa ?Nataka cheti cha umahiri wa matumizi
Nadhani nilitakiwa kuandika silaha Za moto,lakini kimapambano,shoka,panga ,kisu ,mundu,Rungu na vingine kama hivyo kuna mafunzo ya umahiri katika matumizi yake hivyo naweza kukiri kwamba hata hivyo nafahamu kuvitumia na sijuiWee jamaa vipi? Kwani silaha ni kitu gani? Ni kitu chochote kuwezesha kujihami au kujilinda dhidi ya adui. Kisu, panga, wembe, jiwe, fimbo, n.k, vyote hivi ni silaha. Kwahiyo unataka kituambia hujui kutumia hata jiwe???
YeahMmmmmm cheti kabisa ?
Swali wanawezaje kuniuzia silaha wakati bado sina kibali cha kumiliki silaha?,au nikisha lipia inabaki hapo? Dukani?Nenda duka la silaha, mzinga au tanganyikaarms. Chagua silaha unayoitaka, lipia.
Chukua risiti ya malipo ya silaha hiyo na nyaraka zingine za utambulisho wa silaha hiyo kutoka hilo duka la silaha.
Nenda polisi na nyaraka hizo ili upewe fomu ya maombi ya kibali cha kumiliki silaha. Fomu hiyo ni bure, pia unaweza kuipakua kutoka tovuti ya Jeshi la Polisi (ila angalia kuwa unapakua fomu mahsusi kwani kuna fomu za waombaji aina zaidi ya moja).
Jaza fomu hiyo kwa maelekezo utakayopata polisi au kama fomu inavyojielejeza na ambatisha nyaraka zote hitajika.
Nenda kwa wakili akusainie sehemu yake kisha nenda serikali ya mtaa unapoishi ili kamati ya ulinzi na usalama ikujadili na kuipitisha fomu yako kama utakidhi vigezo.
Ukipita mtaa, peleka fomu yako katani ili nao wakujadili. Wakikupitisha;
Rudisha fomu yako polisi wilaya ambapo itajadiliwa na kamati ya ulinzi na usalama wilaya. Ukipita;
Utaitwa mkoani ambapo napo utajadiliwa na kamati ya ulinzi na usalama mkoa. Ukipita, fomu yako itapelekwa kwa DCI ambae, akiridhika, atakubali upewe kibali cha kumiliki silaha.
Ukishapata kibali, peleka maombi polisi ya mafunzo ya kutumia silaha.
NB: HUWEZI KUPATA MAFUNZO YA SILAHA KAMA HAUNA KIBALI CHA KUMILIKI SILAHA.
hongera mkuu naona hapa ipo,Wakuu naomba anayefahamu taasisi zitoazo mafunzo ya matumizi ya silaha hasa binafsi kwa hapa Dar
Na kwako piaHaya!!Siku Njema Kwako.
Sijawahi kusikia ngoja waje wajuziYeah
Hapana ukifika pale ulizia police range au ulizia pale police kituoniGerezani?
Hivi watakuwa wanatoa certificate of competency kweli au wao ni kutoa tu mafunzo kisha mnaagana kienyeji na hasa kwa kuwapoza kwa kitu kidogo?Nataka cheti cha umahiri wa matumizi
Silaha hupewi mpaka upate kibali cha kumiliki. Ukinunua unaiacha dukani.Swali wanawezaje kuniuzia silaha wakati bado sina kibali cha kumiliki silaha?,au nikisha lipia inabaki hapo? Dukani?