Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
-
- #41
USITOE majibu kama mkemia wa serikali.Kama unataka mwanao tafta mwanamke uoe , unachovya chovya hovyo hovyo alaf unataka mtoto awe wako, alaf unawaacha wawe single mother we fala kweli
Ukweli mtupuKama unataka mwanao tafta mwanamke uoe , unachovya chovya hovyo hovyo alaf unataka mtoto awe wako, alaf unawaacha wawe single mother we fala kweli
Una laki ya chap apo Kwana uje tuongee pmINTRODUCTION
Mimi ni mwanaume
Nina miaka 33
Ni mtumishi wa Halmashauri moja wapo nchini
Nina mabinti wawili wa kwanza miaka 8 na wapili miaka mi3.
SCENARIO
Binti wa kwanza. Huyu ni mtoto wangu pure, yaani kila kitu ni Mimi. Ni copy ya sura na vitu vingi sanaa.
Binti wa pili.
Huyu ndio nahisi kuna TATIZO. Kifupi Kuna mambo mengi sanaa yametokea ambayo yanatia mashaka.
Watoto wangu kila mmoja na mama yake. Mwanamke wa mtoto wa pili ni mwanamke mwenye mdomo sanaaa. Na ukitaka siku yako iharibike "Hebu uongelee baba wa huyu mtoto ni nani?"
Hapo mwanzo alipozaliwa nilikataa mimba.
Ila baada ya wazazi nao kuingilia kati ilibidi nimkubali mtoto. Ila sasa Kuna mambo yanaendelea NDIO yananipa utata. Nahitaji kujua ukweli mapema.
Nimeandaa laki 6 kwa zoezi la upimaji DNA
1. Je inatosha?
2. Na procedure ni zipi?
THE PROBLEM.
Moyo wangu umegoma kabisaa kuwa na amani na huyu mtoto wa pili. Before it's to let nahitaji kupata ukweli.
#YNWA
Usisahau wakwanza ni wanguUkweli mtupu
""Ile hela tuma kwenye namba hii.""Una laki ya chap apo Kwana uje tuongee pm
Sitaki pesa yako. Hospital nilipo tunapima DNA""Ile hela tuma kwenye namba hii.""
Kwani hapa haiongeleki??
kumekuwa na malalamiko ya majibu ya uongo ili kuepusha mtoto kukosa matunzoHuduma za uchunguzi wa vinasaba hutolewa kwa mujibu wa Sheria ya Vinasaba vya Binadamu ya mwaka 2009.Taratibu zifuatazo hufuatwa ili kuweza kupata huduma za uchunguzi;-
1. Mteja anayehitaji kupatiwa huduma za uchunguzi wa Vinasaba anawakilishwa na taasisi zilizotajwa kwenye sheria ya Vinasaba vya Binadamu ya Mwaka 2009 ili kumuombea mteja husika huduma za uchunguzi
2. Kwa mujibu wa kifungu cha 25(2) cha Sheria ya vinasaba vya Binadamu ya mwaka 2009, taasisi zinazoruhusiwa kumuombea mteja kupatiwa huduma za uchunguzi wa vinasabani pamoja na
3. Taasisi hizo zitaandika barua za maombi ya kupatiwa huduma za uchunguzi kwa niaba ya mteja husika. Barua zote zitaandika kwenda kwa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia mkuu wa Serikali.
- Maafisa ustawi wa jamii
- Mawakili
- Mahakama katika uchunguzi unaolenga kutataua migogoro
- Jeshi la polisi kwa masuala yanayohusu jinai
- Madakatari kwa uchunguzi unaihusiana na tiba
- Wakuu wa Wilaya
- Taasisi za Tafiti zinazotambuliwa Kisheria
4. Malipo ya uchunguzi ni Tsh100, 000/=kwa sampuli ya mtu mmoja, hivyo kwa uchunguzi wa Baba, Mama na Mtoto jumla niTsh.300,000/=. Malipo yote hufanyika Benki.
5. Baadaya ya kukamilisha taratibu za malipo, sampuli za mpanguso wa kinywa(Buccal swab ) zitachukuliwa na watalaam katika maabara ya Mkemia mkuu wa Serikali kwa ajili ya uchunguzi kulingana na Maombi ya Mteja.
6. Uchunguzi utafanyika na utakapokamilika majibu ya uchunguzi yatatolewa kwa taasisi iliyoandika barua ya maombi ya kufanyiwa uchunguzi na mteja husika atapata majibu yake kupitia taasisi hizo zilizoruhusiwa kisheria.
7. Majibu ya uchunguzi hutolewa kuanzia siku ya kumi na nne za kazi baada ya kuchukuliwa kwa sampuli.
Utajujua mwenyeweUsisahau wakwanza ni wangu
Na 2025 natafuta wa 3
#YNWA
Ile ya kumpiga Kichwani na fc libolo mtoto ama Kuna nyengine,Kuna DNA ya asili mkuu nikuambie, ila outcomes zake ni mbaya ikiwa mtoto sio wako kweli
Sasa wewe una uhakika gani kama hiyo mimba yakoMimi mwenyewe nishatia mimba demu wa mtu alafu nikamwambia mpe huyo jamaa yako.
Kifupo tu kuwa makini na wanawake hasahasa kwenye mimba. Kuwa makini mno, wengi wanalea Watoto sio wao
Ohoo shauri yakoIle ya kumpiga Kichwani na fc libolo mtoto ama Kuna nyengine,
NB:mtoto anaweza kufa
Bora uache, unless ukajaribu kupima nje ya nchi, maana niliwai soma humu hata kama sio wako watasema ni wako, lengo ni kupunguza watoto wa mitaani/wasio na walezi.INTRODUCTION
Mimi ni mwanaume
Nina miaka 33
Ni mtumishi wa Halmashauri moja wapo nchini
Nina mabinti wawili wa kwanza miaka 8 na wapili miaka mi3.
SCENARIO
Binti wa kwanza. Huyu ni mtoto wangu pure, yaani kila kitu ni Mimi. Ni copy ya sura na vitu vingi sanaa.
Binti wa pili.
Huyu ndio nahisi kuna TATIZO. Kifupi Kuna mambo mengi sanaa yametokea ambayo yanatia mashaka.
Watoto wangu kila mmoja na mama yake. Mwanamke wa mtoto wa pili ni mwanamke mwenye mdomo sanaaa. Na ukitaka siku yako iharibike "Hebu uongelee baba wa huyu mtoto ni nani?"
Hapo mwanzo alipozaliwa nilikataa mimba.
Ila baada ya wazazi nao kuingilia kati ilibidi nimkubali mtoto. Ila sasa Kuna mambo yanaendelea NDIO yananipa utata. Nahitaji kujua ukweli mapema.
Nimeandaa laki 6 kwa zoezi la upimaji DNA
1. Je inatosha?
2. Na procedure ni zipi?
THE PROBLEM.
Moyo wangu umegoma kabisaa kuwa na amani na huyu mtoto wa pili. Before it's to let nahitaji kupata ukweli.
#YNWA
Hakika,Tafuta mwanasheria atakusaidia. Mind yu kuna kiapo utaapa kwanza hata ikijulukana mimi sio biological father of this child bado ntaendelea kumlea kumhudumia MUNGU NISAIDIE. Unashusha mkono unasaini chini ya kamishina wa kiapo. Bro kinachofata utaambiwa mtoto ni wako either ni wako au si wako majibu utapewa kuwa 100%. Mtoto ameonekana ni wako. Muhimu ni afya yako ya akili. Either ni wako sio wako usihangaike. Ni cheki Dm nikusaidie ushauri mkuu
Sisi kwa unafki bhana eti Bora ukachukue mtoto wa mtaana!Yaani kuwa na uhakika na jambo ndiyo siku hizi mnaita mawazo ya Kishetani? Kweli jamii ya sasa ipo spidi na ni ya kinyonge sana. Mara mia ukachukue watoto mtaani ulee kuliko wa kubambikiwa.
Siyo unafiki, hiyo maana yake kuliko kuletewa kwa kugeuzwa tutusa. Mtoto wa hivyo ana haki zote za kulelewa na wengine ila siyo huyo aliyebambikiwa.Sisi kwa unafki bhana eti Bora ukachukue mtoto wa mtaana!
Ya kumpa kichapo mtoto!!??Kuna DNA ya asili mkuu nikuambie, ila outcomes zake ni mbaya ikiwa mtoto sio wako kweli