Nahitaji Mjamzito anipatie au nipate Mtoto (Kiume au Kike) ili nimlee mtoto kama wangu

Kukutana na wajumbe( wakakupa msonyoto wakati wa kunyanduana)
 
Eeeh???
Utamhudumia mama akishajifungua pia? Unampa sh milioni ngapi?
 
Mtu anaweza kukubali tu vle akiwa mjamzito lakini akishajifungua amuone mtoto wake kabsa ambebe amnyonyeshe alafu akubali kumtoa kwa mtu kirahisi ni ngumu Sana au hata akikupa baadae lazima atakuja kukusumbua kudai mtoto labda Kama atabeba mimba kwa njia ya surrogation
 
Uko siriazi kweli?

Nna mchepuko wangu ana mimba ya miezi 7. Naweza ongeanae nkamshawishi akaelewa somo...

Lkn je vipi mama yake nae pia utamlea?
Mi sihitaji kunufaika na chochote lkn vipi kuhusu mama yake? Sio kwamba namchukia mama yake au mtoto la hasha nina watoto wengi na mimba 3 juu, kulingana na maisha yanavoenda kwa sasa matunzo hayatakua bora sana kwao huko mbeleni.
 
Kuna wanawake wana mafurushi jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Kitombi
 
Hapatikani ki urahisi kwa lengo la kumtia mimba akuzalie
duh! nikazan unashida biologically kumbe upo fresh....we tafuta mkuuu

mtu sahihi huja kwa wakati sahihi

#usichoke kutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…