Nahitaji Mjamzito anipatie au nipate Mtoto (Kiume au Kike) ili nimlee mtoto kama wangu

Mkuu njoo PM.
 
Njoo hapa morocco Air tell HQ, kuna mwanamke taahira anazurura na mimba kubwa.
Anaomba omba watu pesa.
Mchukue ukamlee akizaa chukua mtoto
 
Baadaye Nitahitaji Mrejesho
Wa Hii Thread Yako, Ingawa Kama Upo Care
Tafadhali PM Nikupe Information Zaidi
 
Wewe ni wema sepetu?
 
Kuwa makini usije kuishia kuwa blackmailed, anaweza kutokea mwanaume akapanga na demu mwenye mimba. Bora upitie njia sahihi na za kisheria.
 
Nitake rathi, utani wako umevuka mipaka. sihitaji comment yako kama una chuki
Tangu lini tukataniana mi na wewe!!!, ukweli unauma siku zote, kumeza au kuutema ni juu yako,
 
Oa mke halafu mtafute house boy rijali,baada ya hapo utatengeneza mazingira ya wao kwanza kufanya yao,watafanya yao mwisho wa siku mimba na malengo yako yatakuwa yametimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…