Nahitaji Mjamzito anipatie au nipate Mtoto (Kiume au Kike) ili nimlee mtoto kama wangu

Tatizo la wanawake mwanzoni mtakubaliana akishaona mtoto hawezi kukupa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu... binafsi nimehisi utata kidogo.

Siku hizi watu wengi sana wanahitaji msaada wa kusaidiwa malezi ya watoto wao, sasa hoja yako kwangu inanipa mashaka kidogo, naweza kukusaidia lakini nijibu kwanza hoja zangu:

1. Hutaki kwenda kwenye vituo vya watoto yatima kwa kigezo kuwa mlolongo utakuwa mrefu, swali: kwa nini unaogopa mlolongo mrefu ilihali upo kisheria!?

2. Kwa nini uweke pesa mbele!?? Yaani utake kumlipa atakaye kupatia mtoto!?? Kwa nini usimuombe tuu kama njia ya kumsaidia kulea!?

3. Kwani una hofu gani mtoto akijua kuwa wewe ulimsaidia tuu mama yake mzazi kulea, nasema hivyo kwa sababu umekusudia kabisa kumfuta hadi ukoo wake.

4. Kwa nini unataka kumchukua mtoto kwenye umri mdogo hivyo, huku unaonesha dhahiri kuwa hutaki mtoto ajue chochote kuhusu mama yake!??

Ahsante!
 
Usijeukamtoa kafara mtoto wa watu mambo ya kienyeji enyeji haya. Muende mkaandikashane polisi kabisaa kama utabahatika kumpata.
 
Tafuta mwanamke Bikra....mueleze lengo lango halafu ukimpata na akakubali nifuate!
Ukiona mwenzako anahitaji mjamzito au mtoto jaribu kuwaza nje ya box na kuendelea kumuombea apate hitaji la moyo wake
 
Ukiona mwenzako anahitaji mjamzito au mtoto jaribu kuwaza nje ya box na kuendelea kumuombea apate hitaji la moyo wake
Nilichangia hivyo sababu ndio mchango wangu wala sidhani kama katika majukwaa yanatakiwa mawazo yanofanana.
 
Mkuu Mambo ya damu usirahishe. Anaweza kuongea na Hilo jamaa alafu likang'ang'ania mtoto baadae na jamaa akatoka patupu!
 
Mkuu unaumri gani!? Huyu atakuwa na tatizo, usimbeze muonee huruma na ushauri.

Kwema lkn
Tafuta mwanamke tia mimba akuzalie

Wanaume akikili sijui huwa mnapeleka wapi, hata niwe nakufa maskini, sikupi mtoto wangu kirahis namna hiyo.
 
Mkuu unaumri gani!? Huyu atakuwa na tatizo, usimbeze muonee huruma na ushauri.

Kwema lkn
Nina miaka 50, kwema kabisa ndugu, namuonea huruma sana ila namshauri aende tu kituo cha yatima, sio rahisi namna hiyo kumpata mwanamke akakukabidhi mtoto ulee
 
Reactions: BAK
Kitendo cha kuweka wazi tatizo ni nusu ya tiba. Hakika wewe utavuka, maana utaweza kugundua tatizo lilipo na kulitatua. Tatizo wengi hukaa kimya na kuishia kupata msongo wa mawazo.

Mungu atatenda mkuu!
Asante kwa somo lako. Hii changamoto naipitia pia japo sijajua sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kachukue mtoto yatima aliyeachwa mdogo mlee,huyo atakuwa zaidi ya mwanao
 
Tatizo kigezo cha umri, kuna mwenye miaka ishirini, na ameoa tayari so ukibadili mawazo kwenye age factor unaweza kuwachukua wote uwaingize kwenye ukoo wako wakuzalie unavyopenda.
 
fanya hivi kirahisi kabisa,mimi ni mwanume

tafuta mwanamke,halafu panga deal na mwanaume unayemuamini(hapa tafuta ndugu yako ukiweza)...mshirikishe
 
Mkuu bado sijakuelewa lengo lako ,kama ni la kheri ni bora utafute mwanamke mkubaliane kwamba akuzalie kisha umkatie mpunga wa malezi,nitakuelewa endapo kama unatatizo la kutungisha mimba ila kama hauna basi kuna walakini maana hali ya sasa inatisha mambo ya ndagu/ngende/kafara na ushirikina ni mwingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…