Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Mkuu nataka nianzie hapo kwenye vinywaji kwanza, Mungu akisaidia ikapokelewa vizuri sokon, nitahamia kwenye hio technology.Ndo maana mkuu Mimi napenda wazo lijikite kwenye Technology,huko kuna pesa!
Mkuu nataka nianzie hapo kwenye vinywaji kwanza, Mungu akisaidia ikapokelewa vizuri sokon, nitahamia kwenye hio technologymuNdo maana mkuu Mimi napenda wazo lijikite kwenye Technology,huko kuna pesa!
Mulemule umepiga🤣Watu wana ideas ila hawawezi kuzitekeleza wawe matajiri wanasubiri mtu atangaze anatafuta idea wamuuzie 😅
Nchi za nje kuna platforms nyingi ambazo mtu mwenye wazo la ujasiriamali anawasilisha wazo kisha matajiri wanakubali kufinance wazo zima na watachukua faida kwa muda fulani kabla hajamuachia kampuni mwenye wazo.
Mfano Shark tank.
Ila bongo ni kuviziana Jamiiforums au siyo 😅😅 mabenki yanakopesha wasanii wanashindwa kudhamini ndoto za hawa wenye ideas
Sawa mkuuMilion 500 ni pesa ndogo,
Ungekuwa kwa ucheche na b 3 ningekupa biashara,
Hiyo pesa uliokuwa nayo
Njoo mp nikupe biashara wa kuwa wakala wa bidhaa moja pendwa sana hapa, upige pesa ya vat huku
Nina kampuni ya madini kijana ni pm tufanye kaziWazo lako ni zuri sana,uwe unatania au hautanii watu humu jukwaani ila tunahitaji mada za namna hii kila siku ili watu waweze Kujikomboa na Umaskini wa kutisha.
Mimi nakushauri wekeza katika sekta ya Madini,binafsi nipo kwenye sekta hii na naona faida yake.
Sekta ya Madini inaweza kuifanya hiyo 500m kuwa 5B ndani ya miaka 2 hadi 3.
Wazo la Kwanza tafuta maeneo yenye Madini ya Kimkakati (Critical Minerals)omba Leseni ya utafiti mkubwa au Uchimbaji mdogo,wekeza kiasi kidogo cha kutoa sampuli za kupeleka maabara,majibu yakitoka vizuri na miamba ikaonekana tafuta wabia kutoka Korea,China, Australia au Canada.
Madini ya Kimkakati ni kama;
Copper
Rare Earth Elements
Lithium
Nickel
Graphite.
Wazo la pili tafuta sehemu nzuri yenye uzalishaji wa Dhahabu,nunua Karasha 1 au 2, tengeneza vat leaching plant, tengeneza na elution plant kazi yako itakuwa kukusanya makinikia yenye ppm nzuri na kuozesha kwenye plant zako.
Karibu Katavi
Hauwezi kuyapata hayo mawazo kirahisi rahisi tu kwa fake id, tangaza kwanza kwenye platform ya wazi watu wakuamini na wajiridhishe kweli iyo milion 500 ipo mfukoniHayo mawazo ya biashara ambayo hayajatumika 95% ndo ninayo yahitaji mkuu
Deal na mbao ngumu mkuu ....African species kama mninga,,,mkongo etcwanakuja
Niko namsubiri hapa chamsingi tu awe serious na sio maneno maana ni idea ambayo Nimeifanyia utafiti wa mda mrefu na gharama nyingi zimetumika hadi ilipofikia sasa,.
Yeah Mungu ni mwema,. Niko good❤️🙏Madam hali yako inaendelea vizuri i hope🙏
MUNGU awe nawe madamYeah Mungu ni mwema,. Niko good❤️🙏
Kuna billionaire wetu mmoja alipohitaji kuwekeza kwenye technology, waziri alimjibu, wabongo muna mitaji ya juisi tu,.....Yah kabsaa, afu mara nyingi ni kwenye issue za technology, kuna mbunge hapa tz aliwahi kusema kuwa hapa bongo mabilionea wetu wataishia kwenye uwekezaj wa vinywaji na vyakula na uchumi wa nyumba, ila technology agusi mtu😅😅
Uzaliahaji biogas, kuiweka biogas kwenye mitungi ya gesi na kuiuza kwa bei ndogo.Uvunaji wa bio gesi na kusambazia watu.
Ila inahitaji utafiti bado
MIm derevaTuanzishe biashara ya kuteka watu na kudai malipo hapo inatakiwa tuwe na noha new model tatu,vijana wakazi kumi na mbili.
Tukana Uone ,kama kweli uko serous itabidi usafiri uje hapa DXB tuje tuyapange .DXB ndipo ninapoishi.Kiasi kisichopungua Tsh 500 milioni