Mkuu ina maana wewe si muumini wa love at the first sight...??
kizuri chajiuza...!.
ngoja nimsaidie..sema kama haikuhus chuna na upite
Mbona umri wako bado ni wa kutafutwa......?......sidhani kama umefikia kutafuta.......tena mtandaoni.......we piga shughuli.......kuwa nadhifu.......watakutafuta tu wenyewe.......
.....Aha ha ha ha!! Usimkatishe tamaa mwenzio. Wanaume wenye sifa hizo wapo wengi tu, mimi ni mmoja wapo ila kikwazo kwangu ni kwamba tayari nishaoa. Naamini tampta mtu ambaye yupo serious na anayetafuta kama yeye.
Aendelee kuomba Mungu pia maana kuna watu wengine wapo stand-by kusubiria loose ball, asije akadondokea katika mikono isiyo salama akaja kuichukuia JF.
Nimekuuliza hivi! huo ndio ushauri wako kwa mke mwenzio?
.....anatafuta matatizo huyo
...nilikuwepo kwenye mbio za km 5 za tigo ...Dr bado nachelewa kukubali kwa kweli.......
Halafu kesho uniangalie kwenye TV........nakimbia kili marathon km 21..........