Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole, kwa age yako hiyo tayari umeshafika mgaharibi nilazima upunguze vigezo.Namuomba MUNGU Anipe mchumba
na mimi ,Mimi mkristo mkatoliki mwanamke mvumilivu umri ni 29+, Libra,
Sio mnene sana/Chaga
Ni wa kawaida
Sina Ugonjwa wowote
Naomba kama kuna mwenye hitaji la mchumba tuchumbiane
Akiwa Chaga inapendeza zaidi na hata wengine inaruhusiwa (hii ni kwa sabbu wengi hamuwataki wachaga,)
Aishi popote duniani ntamvumilia tu
mwanaume awe na Umri tupishane awe na 35+ hata 40 itapendeza zaidi akiwa catholic itapendeza zaidi
Naomba msinitukane maana nitahuzunika ,I'd nyingine imefungwa na mod sababu ya mtu alianza kutukana nkamjbu
Akiiwa na mtoto itapendeza zaidi
K
wa maelezo mengine ni pm
E MUNGU nijalie na mimi
Karibu Pm tuyajenge ila mimi sio mchaga wa mcatholi nina 35 na mtoto mmojaNamuomba MUNGU Anipe mchumba
na mimi ,Mimi mkristo mkatoliki mwanamke mvumilivu umri ni 29+, Libra,
Sio mnene sana/Chaga
Ni wa kawaida
Sina Ugonjwa wowote
Naomba kama kuna mwenye hitaji la mchumba tuchumbiane
Akiwa Chaga inapendeza zaidi na hata wengine inaruhusiwa (hii ni kwa sabbu wengi hamuwataki wachaga,)
Aishi popote duniani ntamvumilia tu
mwanaume awe na Umri tupishane awe na 35+ hata 40 itapendeza zaidi akiwa catholic itapendeza zaidi
Naomba msinitukane maana nitahuzunika ,I'd nyingine imefungwa na mod sababu ya mtu alianza kutukana nkamjbu
Akiiwa na mtoto itapendeza zaidi
K
wa maelezo mengine ni pm
E MUNGU nijalie na mimi
vipi bikra ipo?Namuomba MUNGU Anipe mchumba

Rombo ni kwa wajomba zangu na nimeshafika na kuishi kwa muda. Rombo gani? Mamsera, Mengwe, Keni, Shimbi, Mkuu, Ushiiri, Mashati, Useri au Tarakea? Vahave ni msoro au mndu mfedhe? Kyeiki wala dhunu!Rombo,/nangsha/nasicha/
Kuapa ni dhambi 😂Wee em apiaa? Huogopiii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawasawa, mfele,ndi mashatiRombo ni kwa wajomba zangu na nimeshafika na kuishi kwa muda. Rombo gani? Mamsera, Mengwe, Keni, Shimbi, Mkuu, Ushiiri, Mashati, Useri au Tarakea? Vahave ni msoro au mndu mfedhe? Kyeiki wala dhunu!
Kweli vile baby, siwezi ishi bila weweWee em apiaa??
(Akiwa chaga itapendeza zaidi)Namuomba MUNGU Anipe mchumba
na mimi ,Mimi mkristo mkatoliki mwanamke mvumilivu umri ni 29+, Libra,
Sio mnene sana/Chaga
Ni wa kawaida
Sina Ugonjwa wowote
Naomba kama kuna mwenye hitaji la mchumba tuchumbiane
Akiwa Chaga inapendeza zaidi na hata wengine inaruhusiwa (hii ni kwa sabbu wengi hamuwataki wachaga,)
Aishi popote duniani ntamvumilia tu
mwanaume awe na Umri tupishane awe na 35+ hata 40 itapendeza zaidi akiwa catholic itapendeza zaidi
Naomba msinitukane maana nitahuzunika ,I'd nyingine imefungwa na mod sababu ya mtu alianza kutukana nkamjbu
Akiiwa na mtoto itapendeza zaidi
K
wa maelezo mengine ni pm
E MUNGU nijalie na mimi
Mkuu hii hasira yako inatokana na nini? You must be a SaddistUshakunywa p2 zimekuchosha... Umetoa mimba hadi kizazi kimelegea... Umekesha bar na pombe na shisha umevuta... Miaka 29 umeona umeaga mashindano umeingia ktk ushangazi tena ushangazi wa kichaga 💩🤣 unataka mwanaume...
Weee shangaz wee embu kuwa serious basi, cha muhimu kwa sasa subiri kuzalishwa utelekezwe ukae nyumban kwenu kishumundu uongeze idadi ya singo maza, uishie kuita wanaume wote mbwa 🤣💩🤣
Halafu najua utakuwa na komwe, embu tuache basi tulikuwa tumekaa kimya
Mkuu hii hasira yako inatokana na nini? You must be a Saddist
Mkitukana wenzenu mkijibiwa mnakimbilia kwa moderators 💩💩🤣 hopeless kabisa... Haya wapigie cm kabisa wakusaidie kufanya unachotamani... Mkiwa hamna hoja ya kumjibu mtu mkae kimya sio kuleta ujuaji... Useless
Unàtaka kumaanisha nini?"AKiwa na mtoto itapendeza zaidi", vipi na wewe unae mtoto?
Acha wivu basi wewe mamaunataka awe mke mwenzangu?
Mbona sikukutag hapo wewe mama umefuata nn hapo ninapoulizia baadhi ya vituUnàtaka kumaanisha nini?
Nakuangalia tu😅😅😅 nichanganye sasa