Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Yani kwa masharti hayo nikajua kuna donge nono[emoji39]what is in for my sperms, huyo ni sperm donor bibie unatakiwa umlipe.

Yan umeandika kwa kujiamini sana kumbe unataka huduma for free[emoji1787][emoji1787]

Either way anaeweza kugawa sperm zake under that circumstance ni kichaa tu na ww umesema awe na akil timamu.
🤣🤣🤣
Anajua wengi wetu tuna tamaa ya kuchovyachovya buyu la asali so anaona ni kama katupa fursa na hatuchengi hasa tulio na ukame wa asali.
Sasa si akapandikize tu hospital!?
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,

Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,

Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,

Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,

SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu

2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)

3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana

4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha

5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu

6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano

7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya

SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu

2. Lesbian

3. Ready kua Mama

4. Umri miaka 28

5. Nipo Dar es salaam

NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.

Mawasiliano yawe PM.

Natanguliza Shukrani.
Njoo bobo tumalizane
 
Wazee hua mnakua na changamoto za kiafya kama sukari, presha, nguvu za kiume, ndio maana nikaweka kigezo cha umri lakini kama yupo fit anakaribishwa
Ila anaweka kambi kabisa na tabia hizo unaacha
Kuhusu nguvu za kiume vijana wwnaongoza kununua dawa [emoji1]

Utapata wa kukusaidia mtoto mbona wengi tu
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,

Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,

Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,

Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,

SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu

2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)

3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana

4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha

5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu

6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano

7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya

SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu

2. Lesbian

3. Ready kua Mama

4. Umri miaka 28

5. Nipo Dar es salaam

NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.

Mawasiliano yawe PM.

Natanguliza Shukrani.
Kama uko tayari kuolewa, twende kazi. Ila kama ni suala la mimba tu, aisee sahahu! Yaani mtoto wangu ummiliki wewe kirahisi tu, na kwa sababu zako binafsi! Bila shaka na yeye utapenda hapo baadaye afuate nyendo zako!!

Hapana aisee!
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,

Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,

Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,

Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,

SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu

2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)

3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana

4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha

5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu

6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano

7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya

SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu

2. Lesbian

3. Ready kua Mama

4. Umri miaka 28

5. Nipo Dar es salaam

NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.

Mawasiliano yawe PM.

Natanguliza Shukrani.
Yani tukupe mimba bure bure.
wacha masikhara wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom