Nahitaji sana kuoa walimu wa kike hasa wa sekondary au hata primary nitawapataje?

Ukimaliza uende na unesi pia, maana sio kwa ubaguzi huu
Ohooooo!! Kumbe na manesi wanatakiwa!! Sasa nitasoma vingapi!! Si nitajikuta nina 60 bado nasoma tu[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Hahahah! Mh! Walimu ni wababe sana. Wanamuona kila aliye mbele yake ni mwanafunzi wake. Unaweza pokea bakora hivihivi.
Mwe mwe mweeeeeeh!! Kwahiyo we unataka mwanajeshi?
 
Si ndio maana nakupenda babu yangu[emoji8] [emoji8]
Ukifanikiwa usinisahau kwenye ufalme wako.

Naambiwa tulipelekwa lupango pamoja. Mbona sikukuona gerezani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…