Nahitaji ufafanuzi zaidi kuhusu wale mabikra 72 walioko peponi 😎

Hivi we hata kusoma Huelewi? Duhh mnaforce kufanana na ujinga wa mito ya pombe na bikra😆
 
Pepo haipo! Dini zinapunguza uwezo wa mtu kufikiri. First understand before you believe.!
 
Waache wenzio wajitunze mpaka ahera acha kuwaharibia!
Yaan katika ahadi ambayo Inanipa hamu ya kufika Islamic paradise ni hiyo ya mito ya pombe, siongei kwa kukebehi hiyo ahadi nimeipenda sana. Tatizo ni kwamba haina uhakika.

Mi wanipe tu uhakika wa hiyo pombe na allah anipe madem watano tu waafrica wawili, mmakonde moja, muhindi moja na mwarabu moja.
 

Ukitumia akili yako vizuri, tofati na ile Elimu ya kukariri + kokopy na kupaste tuliyo achiwa na wakoloni utagundua kuwa; kilicho maanishwa pale ni kuwa; Mtu akifuzu na kuingia Peponi atakuwa na fursa ya kujipatia chochote cha halali kwa mujibu wa mahitajio yake...
Sasa hapo washeherashaji ndio huingia kwenye mtego; wa kukubali kila kitu
Mfano: Ukiuliza Asali itakuwepo kwa mapipa; Jibu ni ndio
Kutakuwa na Chocolate bariidi ya kujichotea tu wakati wowote; jibu ni ndio
Kutakuwa na wanawake mabira hata mtu akitaka 30, jibu litakuwa ni Ndio
na hata ungeuliza, kutakuwa na wanaume; jibu lingekuwa hilo hilo ni ndio
Mtu akitaka kuvaa mavazi ya hariri itawezekana; atajibiwa ndio
ILA ukiuliza uchawi utakuwepo; jibu litakuwa hapana

Kwa hiyo kilicho maanishwa hapo ni kuwa kitu chochote cha halali kitakuwepo tena bila kupimiwa ILA hii inawahusu wale tu watakao fuzu na kuingia peponi
 
Kule kweingine nimekukataa kwa sababu kitu pekee kinachopatikana ni kusifu na kuabudu.
 
Yaan katika ahadi ambayo Inanipa hamu ya kufika Islamic paradise ni hiyo ya mito ya pombe, siongei kwa kukebehi hiyo ahadi nimeipenda sana. Tatizo ni kwamba haina uhakika.
Wewe amini tu, mengine utajua mbele ya safari as long as haiathiri chochote kwa sasa!
Mi wanipe tu uhakika wa hiyo pombe na allah anipe madem watano tu waafrica wawili, mmakonde moja, muhindi moja na mwarabu moja.
Hahahha mbona unachanganya tribes mkuu unataka kugundua nini?😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…