Subhanalah.! Shekhe huamini pepo.?Hakuna ukweli wowote, ni imani waliojijengea watu kwa kupeana matumaini hewa.
Nasikia kipindi kile ulikuwa unahonga kwa njiwa uliowapopoa kwa manati πSema unanikumbusha zamani mjomba kipindi tunakutana visimani.
Kwahiyo purpose ya kufika peponi ndio hiyoπWanasema ukifika kule unapewa nguvu nyingi sana, cha muhimu we ufike tu!
Yeah, lengo kuu ni hilo πKwahiyo purpose ya kufika peponi ndio hiyoπ
Nilikua nachukua piki piki za hospital natumia kusindikizia warembo.Nasikia kipindi kile ulikuwa unahonga kwa njiwa uliowapopoa kwa manati π
Dah! Uli-enjoy sana aisee!Nilikua nachukua piki piki za hospital natumia kusindikizia warembo.
We imagine tu wine ishakupa go ahead unaoptions tano mbele yakoπhujawahi kua mwanaume kuna vitu huwezi elewa.Hahahha mbona unachanganya tribes mkuu unataka kugundua nini?π
Nliwaokota sana kipindi hiko, nlikuwa naonekana maisha safi kumbe holaaaaaaa.Dah! Uli-enjoy sana aisee!
Ngoja nitafanya trans nione inakuwajeπ«’We imagine tu wine ishakupa go ahead unaoptions tano mbele yakoπhujawahi kua mwanaume kuna vitu huwezi elewa.
Duniani kuna utapeli mwingiSubhanalah.! Shekhe huamini pepo.?
Sawa labda bikra sio ishu kwako vipi kuhusu mito ya Gambe.! π
Peponi hakuna visungura
Imani nyingine kama zipi bwashee? Taja tatu kwa mifanoKama kawaida yako kikubwa upate mazingira ya kubeza watu wa Imani zingine.
Yamekaa kama chunguπ
Baki huko huko.Ngoja nitafanya trans nione inakuwajeπ«’
Hapana kaangalie picha π«’Acha ukorofi Seran. π
Duuuuh kweli akili amna umu bure kabisaVipi kuhusu hawa mabikira 100 Yesu aliyowahaidi waislam wenzake hautaki kujua kuwa watakuwa weupe au weusi?
Mathayo 19:27
Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?
Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
Hamtaki wageni πBaki huko huko.
Hapana kaangalie picha π«’