Nahitaji ufafanuzi zaidi kuhusu wale mabikra 72 walioko peponi 😎

Sasa endapo watakatifu buku au mia Tano wakienda peponi je awo mabikra 72 watagawanwa vp Sasa....?
Hizi adithi za awa ndugu zetu uwa zina chekesha sometimes
 
Huna unachoelewa endelea kuhubiri ujinga 🚮
 
Huna unachoelewa endelea kuhubiri ujinga 🚮
Sio wewe tu hata cardinal wako hawezi kutafasili hili andiko alafu aseme hapa hakuna ahadi ya wake 100
Isipokuwa mmezoea kudanganyana

Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
 
Muda huo mudi na Allah wako humohumo kwenye pepo hiyo??
 
maswali yako hayawez pata majibu
hakuna aliyewahi kufa akarudi kuleta majibu
ukifa majibu utayapata huko huko
 
Nliwaokota sana kipindi hiko, nlikuwa naonekana maisha safi kumbe holaaaaaaa.
Ilimradi uliwagonga, hata wakigundua kuwa ulikuwa hola hawatabadilisha historia. Wataishia kusema yaliyopita si ndwele
 
Sasa endapo watakatifu buku au mia Tano wakienda peponi je awo mabikra 72 watagawanwa vp Sasa....?
Hizi adithi za awa ndugu zetu uwa zina chekesha sometimes
Piga hesabu. Kwa mola hakuna kinachoshindikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…