Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

Mke achunguzwi ukimchunguza means uwe na uwakika wa kuacha sasa wewe umechunguza umejua then unalialia hapa
Mke achunguzwi
Mke achunguzwi
Mke achunguzwi
 
Mkuu nikupe Siri?Siku hzi hakuna usalama mtaani wake za watu wanaliwa kishenzi mbaya zaidi na hawa vijana wadogo wanyoa viduku na boda boda,hivyo nikupe tu moyo bora wako kaliwa na mtoa mkopo.
 
Miaka 46 sio kijana
Ruge Mwongaza Njia Alifariki Na Miaka 48 Na Watu Waliimba Na Kusherehekea Maisha Yake
Wakisema Amefariki Akiwa Kijana Mdogo Sana

KKwahiyo 46 Bado Sana

Ushauri Wangu Ishi Na Mkeo Hata Ukimwacha Utaoa Na Utazaa Tena, Wale Watoto Wako Watapata Tabu
 
Pole sana. Inaonekana wewe hujawahi msaliti ndio maana unaumia sana. Sasa kama hajawahi kuomba msamaha kwa dhati basi mkeo atakuwa na mwendelezo na jamaa. Huo ndio ukweli. Kutengana kwa wanandoa kwa sababu za kikazi ni janga
 
Naweza kusema kuna kitu hakiko sawa na nafikiri mkeo kakusaliti mara nyingi zaidi ya hiyo kwakuwa hujui.
 
Hahaha Ila Comment za Humu Nimecheka Sana!
Wengine Badala ya kushauri wanasimanga🤣🤣

Mdogo wangu!
Nisilize Maisha yanatia Hofu sana, Ila Moyo ni hofu zaidi ya Hayo maisha...

Kama moyo wako bado una machungu na Mkeo hakikisha Unakaa naye mbali uwezevyo kwa muda jipe muda wa Kupona maana nimeona Umeandika mahali kwamba licha ya maumivu una hasira..

Sasa nisikilize Usikae Naye nyumba moja ukiwa bado unajiponya Hicho kidonda..

Stress +Hasira+ Deppresion Sio Combinantion nzuri Maana kitakachoendelea Unaweza ukamdhuru na kusababisha matatizo makubwa sana..

Nimeona Umeandika kuwa umetoa Talaka 2 so obvious wewe ni mwislamu..

Eda Ina miezi minne na nusu tumia Eda Kufikiria maamuzi yako na Kujiponya mwenyewe..
Na kama utaona kuna haja ya Kumrudia Fanya hivyo..

Asante!
 
Miezi 6 huna mke, iwapo wewe binafsi hujawahi kumsaliti ukiwa kwa kipindi hicho muache, kama umeshawahi kukutana na mchepuko huko, msamehe
 
Ila haya maisha haya basi tu. Wanawake wanasema wanajiweza pia hivyo 50/50 ila cha kushangaza pesa mtafute wote ila mwanaume ndio ufanye maendeleo yeye akiweka pesa yake kwako linakua deni.

POle mkuu,,mwanamke sio ndugu yako unatakiwa ulikumbuke hilo.
 
Mimi namsapoti huyo mwanamke.
Haiwezekani miezi minne mke wako ujamuona halafu unakaa unamlazimisha kwamba mbona ninahisi kuna kitu kibaya, ushaambiwa hakuna unakaa kulazimisha vitu.
Sasa hapo kashakwambia amebakwa na hajapiga kelele na hajasema kokote. Mpe talaka mjiandae kugawana na mali hizo. Maana vifo vingine ni vya kutafuta kwa nguvu.😂😂😂
Jitu linaambiwa hakuna kitu unakaa kulazimisha. Ndio hivyo kabakwa kelele hajapiga na hataki kuripoti toa talaka mgawane mali na hilo deni la hiyo nyumba utalilipa wewe. Na hiyo nyumba mtagawana hapo hapo ilipofikia.
 
Mnaowatuma wake zenu kwenda kukopa fedha mna matatizo makubwa. Ni rahisi sana mwanamkwe kutombwa kwa kipindi ambacho mi mhitaji wa fedha yyte ile otherwise mkopeshaji awe wa kuheshimu
 
Ninachokina hapa huyu mwanamke hajabakwa kampa mshikaji kiroho safi!
Na kampa zaidi ya mara moja!
Iyo kubakwa ni kuhadaa ili umuone kwamba hana hatia.
Kama kweli angebakwa lazima angakuambia siku ile ile ili mchukue hatua na sio kukaa kimya!
Pia angeshatoa taarifa kwa vyombo husika, angepiga kelele, etc yani lazima angekuonesha aina ya ushirikiano tangu mwanzo na sio kukaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…