Ukiunda tume ukiwapa watu aina ya jaji manento,kisanga, samataMakamanda wa polisi toka muda huo 2012 hadi sasa 2026 pamoja na kupigwa msasa kwa kuoelekwa kozi mbalimbali za uongozi chini ya Dr. Lazaro Mambosasa, wameamua kupotezea Kumbukumbu za Kitaasisi Institutional Memory kwa makusudi mbali ya kuwa Tume Ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kuonesha mapungufu yao katika utekelezaji wa haki
TOKA MAKTABA:
tober 11, 2012
RIPOTI YA KAMATI YA NCHIMBI KUHUSU MAUAJI YA MWANGOSI YAUMBULIWA VIBAYA NA TUME YA UTAWALA BORA NA HAKI ZA BINADAMU YA JAJI AMIR MANENTO...
RPC WA IRINGA MICHAEL KAMUHANDA,
MSAJILI WA VYAMA JOHN TENDWA WABAINIKA KUVUNJA KATIBA NA SHERIA ZA NCHI KUELEKEA KIFO CHA DAUDI MWANGOSI WA CHANNEL TEN
Jaji Kiongozi Mstaafu, Amir Manento akionyesha ripoti ya Tume ya Utawala Bora na Haki za Binadamu mbele ya waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam..
Picha imeondelewa kuhifadhi utu wa mwandishi Mwangosi
Hivi wewe ni binadamu wa kawaida? Una roho ya nyama? Utu na nafsi je?Bomu la machozi linapigwa kuelekea kwenye vurugu,linampata mtu zimazima tumboni
Hapo nani awajibishwe?
lakini si unajua wewe pia ni Marehem mtarajiwaUtukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! RIP MWANGOSI
Ila sijawahi kuua mtulakini si unajua wewe pia ni Marehem mtarajiwa
ata usipoua mtu si unajua kabisa we ni marehem mtarajiwaIla sijawahi kuua mtu
Kuna watatu wako kwenye machine ya oxygenKumbe wanakufaga...duh...
Alikufa mtei sembuse yeye?Kumbe wanakufaga...duh...
😳😳😳 Heee..hivi na wao kumbe wanahitajigi msaada wa mashine ya oksijeni ..Kuna watatu wako kwenye machine ya oxygen
Hongera wewe ambaye utaishi mileleKuna watatu wako kwenye machine ya oxygen
Mtei hakuua watanzania elfu kumi na kumpiga bomu tumboni Mwangosi..Alikufa mtei sembuse yeye?
Mwanza ni moja ya sehemu waliponuliwa wapigania haki wengi kati ya tarehe 29-01. Tekelezo la Amri ya kuwaua raia hao ilitoka kwa Kamuhanda.Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu.
View attachment 3536765
Huyu jamaa alokufa alizaliwa 1954
Name them....Kuna watatu wako kwenye machine ya oxygen
Nyoko zenu na mtakufa sana hadi mkiri kwa vinywa vyenu!!!!....let's prayer pray!!!Hongera wewe ambaye utaishi milele
Ccm imejaa wauaji sijui wanna raha gani mbwa Hawa.Waziri wa Mambo ya ndani alikuwa Nchimbi
Jazba Kama umelishwa Sodium vile1954-2026=71
Kwa energy drink na visungura unavyokunywa,hutofika huko
Kila mtu atakufa ndugu. Wema na waovu lazima wafe. Kama unadhani Kamuhanda kaadhibiwa na Mungu basi ukapimwe akili.Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! RIP MWANGOSI
Wee quumma unahitaji bomu la mkuun&@$du tuu labda akili itarudi 🤮Bomu la machozi linapigwa kuelekea kwenye vurugu,linampata mtu zimazima tumboni
Hapo nani awajibishwe?