Wewe utakufa mama yako atakufa baba yako atakufa shangazi yako atakufa dada yako atakufa kaka yako atakufa mkwe wako atakufa mke wako atakufa watoto wako watakufa kila mtu atakufa hapa dunia Soma Surat Al-Imran aya ya 185Nyoko zenu na mtakufa sana hadi mkiri kwa vinywa vyenu!!!!....let's prayer pray!!!
Kwasababu tutakufa ndo hamtaki tuseme ujinga wenu mnaotufanyia? Kila mtu abebe msalaba wake.Wewe utakufa mama yako atakufa baba yako atakufa shangazi yako atakufa dada yako atakufa kaka yako atakufa mkwe wako atakufa mke wako atakufa watoto wako watakufa kila mtu atakufa hapa dunia Soma Surat Al-Imran aya ya 185
View attachment 3536782
We c ni mwana ccmMtei hakuua watanzania elfu kumi na kumpiga bomu tumboni Mwangosi..
badaye akarudishwa makao makuu, ni munyambo huyoAlikuwa kamanda wa polis mkoa wa iringa kipindi Cha kifo Cha mwangosi
Huyu jamaa ndo aliamuru Mwandishi wa Habari wa CHANNEL TEN, Daud Mwangosi apigwe Bomu huko Nyororo Iringa. Kiko wapi?
Almtuhumu kuipendelea CHADEMA katika kutoa habari.
Mpumbavu sana, alidhani yeye hatakufa. Pumbavu sana huyu polisi, na wengine watafuata. Hivi mtu kama huyu asiye na akili anakuwaje polisi?Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu.
View attachment 3536765
Huyu jamaa alokufa alizaliwa 1954
MY TAKE
Huyu jamaa ndo aliamuru Mwandishi wa Habari wa CHANNEL TEN, Daud Mwangosi apigwe Bomu huko Nyororo Iringa. Kiko wapi?
Almtuhumu kuipendelea CHADEMA katika kutoa habari.
View attachment 3536781
Wanafamia wameweka maneno ya kinafiki kwenye picha yake eti Nimevipigana vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, imani nimeitunza. Labda imani ya kumwaga damu za watu. Kwa ufupi hajamaliza mwendo ndo safari ya kuzimu inaanza.. Hadi amalizane na Mwangosi na wote alioua kwa sifa.. Kudadeki.. Huyu ndo Muhaya pekee mjinga
View attachment 3536783
Hàpana hakuna RIP, labda Li REST IN HELL..RIH AU AGARAGAZWE JAHANAMU....AJUtukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! RIP MWANGOSI
Amechelewa sana tuoa majibuMungu hachelewi Wala hawahi
Wacha likachomwe moto hukoNaibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu.
View attachment 3536765
Huyu jamaa alokufa alizaliwa 1954
MY TAKE
Huyu jamaa ndo aliamuru Mwandishi wa Habari wa CHANNEL TEN, Daud Mwangosi apigwe Bomu huko Nyololo Iringa. Kiko wapi?
Alimtuhumu kuipendelea CHADEMA katika kutoa habari.
View attachment 3536781Mwwenyekiti na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa Channel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa CHADEMA Mufindi.
---
Mwandishi wa habari wa Channel Ten mkoa wa Iringa na Mwenyekiti wa chama chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa Daud Mwangosi ameuwawa katika vurugu za Polisi na wafuasi wa Chadema katika kijiji cha Nyololo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa leo.
Mwanahabari huyo Daud Mwangosi aliuwawa majira ya saa 10 jioni katika ofisi za Chadema Nyololo huku askari mmoja akijeruhiwa vibaya kwa risasi.
Kabla ya kuuwawa...
- Sir Leem
- apigwa risasi daudi mwangosi jeshi la polisi
- Replies: 893
- Forum: Jukwaa la Siasa
Wanafamia wameweka maneno ya kinafiki kwenye picha yake eti Nimevipigana vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, imani nimeitunza. Labda imani ya kumwaga damu za watu. Kwa ufupi hajamaliza mwendo ndo safari ya kuzimu inaanza.. Hadi amalizane na Mwangosi na wote alioua kwa sifa.. Kudadeki.. Huyu ndo Muhaya pekee mjinga
View attachment 3536783
MahitaKuna watatu wako kwenye machine ya oxygen
MmmmmmmTumsifu Yesu Kristu
Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu.