Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Vipi zile pete zake wamemuachia?

Mkuu amesema wamechukua pete mbili za thamani sana ila siyo thamani ya pesa! Moja aliachiwa na marehemu baba yake na nyingine alipewa na mkewe kwa mahaba tu. Sasa sikujua kama alikuwa amezivaa ama zilikuwa kwenye begi. Kesho tuangalie picha wakati anaongea na waandishi wa habari kama atakuwa na pete kama zile alizokuwanazo huko Chunya.
 
awe muwazi tu yule hana lolote.....akubali kwa kaibiwa na kahaba asi lakini akileta uswahili wa mujini haimsaidii
 
Could be more than kupigwa na kahaba, hii ni bongo zaidi ya uijuavyo
 
Uongo mwingine bwana.........
Hivi hotel ambayo chumba kinalipiwa sh. 400,000/- kwa siku inaweza kuingilika kirahisi na vibaka kweli....achilia mbali majambazi!
 
Asante kwa taarifa. Hatra hivyi si wote wametazama ITV au kusikia yaliyoyaongea. Thus far:amesemaje?

Kama kaitisha kikao mwenyewe itakuwaje ahojiwe? Hicho amekiitisha ili kuficha ukweli, hata hivyo, mambo yameishavuka mipaka hata tulio mbele masaa 6 tumeyapata.
 


mkewe alikuwa mganga wa jadi na alishafariki...huyu malima vipi huyu..mbona muongo hivi?
 

Mkuu hivi waziri huwa ana mlinzi kweli au yule katibu/msaidizi wake ndio ana majukumu ya ulinzi na ukatibu?
 
Itakuwa kaibiwa na Mtu alikuwa anampa mipaja!!aya sasa kazi kwake!!Waziri mzima hujiheshimu!!
 
Huenda ni njia ya kutuhamisha mawazo kwenye inshu nyeti ya madaktari, ili wapunguze tension! si unajua tena hii serikali.
 
Ni Nashera.

Imejengwa kwenye ardhi iliyokuwa shamba la magereza!!!!!
Watanzania?????

Kwa tetesi nilizozisikia huku Moro, wanasema hiyo Hotel ni ya Mheshimiwa Lowasa (mgombea mtarajiwa wa Urais- ccm).
 
hawa makahaba wa moro wamezidi kwa matukio........nadhani wanaongoza kwa kuweka dawa za kulevya kwenye mazi.wa yao.....ngoja tuone jamaa atajitetea vipi?
 
Anasema kinachomuuma sana ni pete yakn aliyoachiwa na Baba yake, mambo ya uchawi tu ndio yanamsumbua. Watamalizana magamba.
 
Uongo mwingine bwana.........
Hivi hotel ambayo chumba kinalipiwa sh. 400,000/- kwa siku inaweza kuingilika kirahisi na vibaka kweli....achilia mbali majambazi!

Hilo nalo swali. Yaani waingie watoke na mabegi matatu bila kuwa noticed. Inaweza ikawa ina mcover mheshimiwa lakini ikawa very detremental kwenye business ya hiyo hotel. Kama hotel ya gharama kama hiyo inaweza kuingilika kirahisi hivyo basi hiyo hotel haifai kuwa na gharama hiyo. Hii haitakuwa na tofauti na guest ya uchochoroni!
 
Mkuu hivi waziri huwa ana mlinzi kweli au yule katibu/msaidizi wake ndio ana majukumu ya ulinzi na ukatibu?


hana mlinzi,....... huyu ni sharobalo asiye jiamini.......hoteli ya 400,000/= kibaka haingii hovyo hovyo maana security iko juu na asiwafanye wote kuwa hawapajui alipolala....ile milango ukilock kwa ndani mtu akiwa nje hafungui ...labda abomoe...sasa mlango haujabomolewa wala nini ...maana yake ni kwamba mtu huyo alikuwa ndani......mbona ni simple logic tu........halafu yeye anadanganya watu.......mtu wa ajabu sana huyu
 


Kweli watanzania tuna kazi
 
Hawezi kuruhusu maswali najua! Hii ni aibu ya mwaka,aibu sio kwake Serikali nzima,
 
sana sana anataka kuharibu jina la hiyo hoteli kuwa ulinzi na usalama hakuna...atawaharibia biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…