Hivi hayo mapete mbona anayalilia sana, yana nini?Mkuu amesema wamechukua pete mbili za thamani sana ila siyo thamani ya pesa! Moja aliachiwa na marehemu baba yake na nyingine alipewa na mkewe kwa mahaba tu. Sasa sikujua kama alikuwa amezivaa ama zilikuwa kwenye begi. Kesho tuangalie picha wakati anaongea na waandishi wa habari kama atakuwa na pete kama zile alizokuwanazo huko Chunya.
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema Naibu Waziri Adamu Malima ameibiwa kila kitu ktk hoteli ya Loshera mjini Morogoro. Hadi sasa bado yuko ndani ya chumba cha hiyo hoteli hajatoka nje. Inasemekana hata nguo alizoavaa amesaidiwa tu na wasamaria wema.
Yaleyale ya mawaziri kuendelea kuumbuka ugenini!
Manjagy bado yanafuatilia issue hii nzima!
Source: Radio One, muda 13:14 pm

hana mlinzi,....... huyu ni sharobalo asiye jiamini.......hoteli ya 400,000/= kibaka haingii hovyo hovyo maana security iko juu na asiwafanye wote kuwa hawapajui alipolala....ile milango ukilock kwa ndani mtu akiwa nje hafungui ...labda abomoe...sasa mlango haujabomolewa wala nini ...maana yake ni kwamba mtu huyo alikuwa ndani......mbona ni simple logic tu........halafu yeye anadanganya watu.......mtu wa ajabu sana huyu
Kama kaitisha kikao mwenyewe itakuwaje ahojiwe? Hicho amekiitisha ili kuficha ukweli, hata hivyo, mambo yameishavuka mipaka hata tulio mbele masaa 6 tumeyapata.
kwa taarifa kutoka moro kwa mapolisi kua alilala na mwanamke, iweje mtu aibiwe simu 3, laptop2, pete za thamani, mabegi ma2, eti anadai kaibiwa kupitia dishishan, hivi kweli kwa akili ya kufikiria unaweza ukaacha simu 3 chumbani ukatoka umesahau zote ni kweli iyo jaman..... :thinking: halafu katika mahojiano anajibu kihuni yaan hayuko straight mh unaweza kuhisi ni nani ahhhhhaaaa eeeehhhhehhhh simhisi mtu yaaan haelewek
Wewe hujasoma kuwa digital recorder imelambwa? Nini kazi ya digital recorder? Mdada yuko smart amerekodi kila kitu hadi mapumbuNdugu hivi umefikiri sawa sawa kabla ya kuandika hicho ulichokiandika?
hata mm nashangaa hotel isiwe na uzio..wala ulinzi...na hao waandishi kwann hawakuuliza ulinzi wapo ukoje?..
kwa taarifa kutoka moro kwa mapolisi kua alilala na mwanamke, iweje mtu aibiwe simu 3, laptop2, pete za thamani, mabegi ma2, eti anadai kaibiwa kupitia dishishan, hivi kweli kwa akili ya kufikiria unaweza ukaacha simu 3 chumbani ukatoka umesahau zote ni kweli iyo jaman..... :thinking: halafu katika mahojiano anajibu kihuni yaan hayuko straight mh unaweza kuhisi ni nani ahhhhhaaaa eeeehhhhehhhh simhisi mtu yaaan haelewek
laana za watanzania zimeanza kumwumbua.
Jamaa namuona mjanja wa town kumbe bado hajajua kwamba huwa wanaweka kwenye chakula ya mtoto? Mungu wangu wamekomba kila kitu ili asiweze kutoka nje na nadhani alilala hadi saa za mchana. vichanchide vimeishavuka mpaka tayari huenda vipo Florida 2000 vinasherehekea mafanikio baada ya mawindo yao kunasa! Na kama alikuwa na jiwe ndio amewapa utajiri.
Hili ni zengwe limetengenezwa kupunguza tension za mgomo wa madaktari!! Asingetangaza kwenye radio!!sana sana anataka kuharibu jina la hiyo hoteli kuwa ulinzi na usalama hakuna...atawaharibia biashara