Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,428
Hapo unaona contradiction ya matamshi yao kuwa Tanzania ni kisiwa cha amani..wanatudanganya hivyo.Lahaula! Bunduki kubwa la nini tena nchi ya amani yarabi?
Mkuu Lion of Juddah, King of Kings: Battom line ni kwamba Naibu Waziri kaibiwa karibu kila kitu ikiwa ni pamoja na pete mbili moja aliachiwa na baba yake. Hiyo alikuwa anaitunza ili siku akitangulia mbele za haki amuachie mwanaye. Pete nyingine ni ile aliyopewa na mkewe kwa mahaba. Pia Naibu Waziri ameibiwa mabegi matatu yenye laptop mbili na nyaraka. Pia wamemlamba dolla 4000! Hayo kayathibitisha mwenyewe. Hayo mengine watu wanajaribu kuunga moja na moja ili kupata mbili!!
Huyu jamaa malima ni reflection tosha ya aina ya viongozi tulionao kwenye hii serikali......kiongozi unatembea na masilaa yooote hayo yanini???ina maana wanajijua kwa mambo wanayofanya hawako secure......kiongozi anaependwa na raia zake kwa kuwatumikia vyema hana sababu ya kutembea na misilaa yoote hii..tena eti alikuwa kazini???na misilaa yote hii!!...mi najiuliza hivi hawa mawaziri huwa wanajifunza nini wanapotembelea nchi za wenzetu???...ukienda nchi kama sweden viongozi wakubwa wanatembea hata mitaani bila kuwa na woga wowote ule wa kufanywa mbaya..manana wanawatumikia kwa ukweli raia.....sasa ona huyu malima...hizo silaha kama mwizi wake angeamua kumtoa roho si tungekkuwa tunasema mengine sasa!!....Waziri unakuwa room hotelini na documents za serikali huku ukifanya starehe!!!...haya ndio yale ya kusaini mikataba muhimu ya nchi mahotelini....yaani huyu jamaa ni reflection haswa ya namna haya majamaa mawaziri wa jk wanavyofanya kazi......bado siamini kuwa kavamiwa bali nitazidi kuamini kuwa alikuwa na malaya (kama kawaida yake tunamjua huyu saana tu)ambaye ndie kamwibia.....arobaini zake zilimfika tu leo..Viongozi wetu kama wanajeshi! Hivi tatizo ni nini hadi anatembea na bunduki na bastola. Pia anasema anatembea na paspoti na hela kwa ajili ya dharura kuwa anaweza kusafiri wakati wowote! Hapa kuna ujumbe gani?
Very true, hivi ni mnywaji?Ama walimpiga macloroform?Jamaa namuona mjanja wa town kumbe bado hajajua kwamba huwa wanaweka kwenye chakula ya mtoto? Mungu wangu wamekomba kila kitu ili asiweze kutoka nje na nadhani alilala hadi saa za mchana. vichanchide vimeishavuka mpaka tayari huenda vipo Florida 2000 vinasherehekea mafanikio baada ya mawindo yao kunasa! Na kama alikuwa na jiwe ndio amewapa utajiri.
Jamaa namuona mjanja wa town kumbe bado hajajua kwamba huwa wanaweka kwenye chakula ya mtoto? Mungu wangu wamekomba kila kitu ili asiweze kutoka nje na nadhani alilala hadi saa za mchana. vichanchide vimeishavuka mpaka tayari huenda vipo Florida 2000 vinasherehekea mafanikio baada ya mawindo yao kunasa! Na kama alikuwa na jiwe ndio amewapa utajiri.
Wa geti hawatoshelezi, hawajui kuachia vyote.Hapa alifakamia kachuchu akapoteza signal mchuja akakomba zaga. Jamaa naye kwa nini achukuwe kicheche asikamue wa geti? Duh hirizi ya kwenye pete ndo ivo imeenda ajiandae na umwakyembe manake firewall imeenda full virus zinakuja.
Malaya malaya tu!!
acha anyooshwe.............wakina mama hoyeeee.....
mkikamata malaya mwingine mnyoosheni...
bado nazi ya magogoni~
Huyo mrembo ni kama alitumwa, sifa zke inaonekana zililengwa kwa jinsi anavyojulikana udhaifu wake, hivi mambo yake na Mengi vipi?Maana naona Radio one ndo ya kwanza kuvujisha lol!
Usitupe mawe kwa wenzako kama na wewe unaishi kwenye "Glass house".
Thank you for this post...you made my day...Dah........................... Kweli mdada alisherehekea siku ya wanawake duniani. Amemwonyesha naibu waziri kuwa yeye mwanamke akipewa nafasi, anaweza.
Dawa ya wasaliti wa ndoa zao.
Jamaa amelambwa dola 4,000, pete moja ya mkewe na pete nyingine aliyeachiwa na Marehemu Baba Yake. Hizo pete ndo zinazomuuma zaidi kuliko vingine. Ajabu wameacha silaha, bastola moja na bunduki kubwa moja
hiyo mipete au walinzi?pia mbona anasafiri na mizigo mingi au begi moja la bunduki jingine nguo jingine mipete?Anasema kinachomuuma sana ni pete yakn aliyoachiwa na Baba yake, mambo ya uchawi tu ndio yanamsumbua. Watamalizana magamba.
Big up Lowassa kwa kutujengea Nashera...