Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,236
Kwasisi tulioko Arusha tumeshawazoea hawa wakubwa wakiibiwa na malaya ila sioni kama swala la kuoa kama breaking news. Kwa redio One kuifanya breaking news ni kama kulipiza kisasi maana Malima huwa ana bifu na Mengi na ndiye aliyepeleka malalamiko bungeni kuwa Itv na redio one zinatumia mda mwingi kwenye taarifa ya habari kuhusu Mengi kuliko mkuu wa nchi.
Yale mapete yake makubwa yaliyojaa kwenye vidole, hayajamsaidia kitu!!tumesikia anadaiwa kwa mganga mmoja wa kienyeji ndiye aliyechora deal!
Hiyo hela hapo penye red ni ya kwake au analipiwa na serikali,jamani hata mshahara wangu kwa mwezi haufikii hapo,jamaa anatumia kwa siku hapa Morogoro baado hajala ,hajanywa ,hajaburudika ama kweli hii Tanzania ina wenyewe waacha waibiweNimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi
Kwasisi tulioko Arusha tumeshawazoea hawa wakubwa wakiibiwa na malaya ila sioni kama swala la kuoa kama breaking news. Kwa redio One kuifanya breaking news ni kama kulipiza kisasi maana Malima huwa ana bifu na Mengi na ndiye aliyepeleka malalamiko bungeni kuwa Itv na redio one zinatumia mda mwingi kwenye taarifa ya habari kuhusu Mengi kuliko mkuu wa nchi.
Naye Adamu alikuwa anajipendekeza tu kwa mwenye kigoda kwani ITV ni TBC mpaka raisi apewe muda mrefu kuliko mwenye nayo?mtu kimfaacho chake bana
Unajua nini kimefanyika hapa, yule mdada aliyekuwa naye kama hakumuwekea madawa ya kulevya kwenye kinywaji basi kapakaa kwenye mati** na wanaume wanavyopenda kunyonya na kulamba kila mahali basi malima ikawa kwisha habari yake.
Vipi zile pete zake wamechukuwa pia, Malima, wewe unajua kabisa hali ngumu ya Watanzania halafu unalala na mpiganaji huku umejiachia unategemea nini?
Tena shukuru Mungu angekuwekea kete kwenye nyonyo saizi ingekuwa habari ingine, pole sana Mkuu.
Sasa huyo dada anapeleka wapi hiyo chupi ya Malima?
Mkuu Lion of Juddah, King of Kings: Battom line ni kwamba Naibu Waziri kaibiwa karibu kila kitu ikiwa ni pamoja na pete mbili moja aliachiwa na baba yake. Hiyo alikuwa anaitunza ili siku akitangulia mbele za haki amuachie mwanaye. Pete nyingine ni ile aliyopewa na mkewe kwa mahaba. Pia Naibu Waziri ameibiwa mabegi matatu yenye laptop mbili na nyaraka. Pia wamemlamba dolla 4000! Hayo kayathibitisha mwenyewe. Hayo mengine watu wanajaribu kuunga moja na moja ili kupata mbili!!
leo sitoki kwenye hii thread hadi saa nane usiku wakati woooote mmeenda kulala
Kwasisi tulioko Arusha tumeshawazoea hawa wakubwa wakiibiwa na malaya ila sioni kama swala la kuoa kama breaking news. Kwa redio One kuifanya breaking news ni kama kulipiza kisasi maana Malima huwa ana bifu na Mengi na ndiye aliyepeleka malalamiko bungeni kuwa Itv na redio one zinatumia mda mwingi kwenye taarifa ya habari kuhusu Mengi kuliko mkuu wa nchi.
Alafu hawa hawa viongozi ndio wanasema eti watanzania tutumie shiliingi yetu na biashara zisifanywe kwa dola. wakati wao wanatembea na madola tele...tena cash(kama vile hawajaenda shule)....it takes a nut case kuijua TZ yaani.....huu uzalendo gani huu wa viongozi!!...huyu ni mtanzania au mtalii $4000 za nini ndani ya nchi tena iringa,morogoro?ndio maana hawajali matatizo yetu
happy women's dayDah........................... Kweli mdada alisherehekea siku ya wanawake duniani. Amemwonyesha naibu waziri kuwa yeye mwanamke akipewa nafasi, anaweza.
Dawa ya wasaliti wa ndoa zao.
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema Naibu Waziri Adamu Malima ameibiwa kila kitu ktk hoteli ya Loshera mjini Morogoro. Hadi sasa bado yuko ndani ya chumba cha hiyo hoteli hajatoka nje. Inasemekana hata nguo alizoavaa amesaidiwa tu na wasamaria wema.
Yaleyale ya mawaziri kuendelea kuumbuka ugenini!
Manjagy bado yanafuatilia issue hii nzima!
Source: Radio One, muda 13:14 pm
Happy Women's Day