Eeeeeh Mungu wangu tunusuru na Kimbunga. Laptop mbili zimesheheni nyaraka za Nchi kuanzia Bulyanhulu, Nyamongo, Mwanakitolyo, Tunduru (urani) hadi Chunya. Hapo bado nyaraka za utafiti wa mafuta na gas. Hawa watoto wabaya!
nasherahiyo hotel inaitwaje jamani?
Huyo alikuwa na machungu ya siku ya wanawake duniani-Tunaweza lohIshu siyo Malima. Ishu ni kwamba thread imegusa mahala pake! Ukizingatia kwamba mwanamke akipewa nafasi Anaweza!
Hiyo hotel inaitwaje jamani?
ritz nasemaje haya mambo ya kawaida kabisa!! Tena jamaa ashukuru ni waziri hivyo serikali itagharamia kila kitu pale
kuna story nyingi mno za wenzangu wahandisi wa ujenzi, ,migodi, masurveyor, ma geologist
kuna mahali unabanwa, unaingia na mtoto chumbani unaona kabisa itakuwa short time..mara una extend muda na huku ukilia na
kujuta kwa nini umeoa yule wakati raha ziko huku
kutahamaki huna michoro, simu, laptop na tender documents!!! Achilia mbali theodolite na gps!
Kuna wanawake balaa acha kabisa
humu wengi wanasema kwa zile mila za kinafiki za ki-afrika as if they are 100% innocent kumbe ni vice versa kwa sababu ni malima!
Huyu malima kama alikuwa na kamchezo haka tangu kabla hajawa waziri kuna mechanism gani au nguvu gani ya kuwa ukiwa waziri unaacha haka kamchezo?? Kama sio kuwa ukiwa waziri ndio kanaongezeka
kwanza anatabia nzuri kwa dollar 4000? Unakuwa na watatu unawachukua sehemu mbali mbali...mbona mshikaji yuko normal tu!! Mmoja tu!
Pole dume la mbegu
huyu dada lichofanya ni heshima kwa wkristo wote
wamezoea kutuita wagalati hukukitandani wanatuita hny/sweet/darling shika hapo shika kule
shika hapo shika kule teeheeteehhh muwe na adabu wagalatia nao wanaweza
subirini sasa mwanahlisi na raia mwema watakavyoanza kumwaga siri nzito za mikataba wapwa mtakimbia dada aliembamiza anaitwa hellena usiniulize zaidi....naamini kwenye kitabu cha lodge kaandika ashura malima adam mke wa mh waziri ...loh
kazi unayo babu utajibeba mwaka huu utakoma kulala na wapogoro tehetehe
Si lazima awe kazivaa wakati wote. Pete ni pambo na wengii huvuwa wakiwa wana pumzika, ni wachache wanaolala nazo au wnaovaa kutwa nzima. Wengi mapambo kama pete, saa, hereni, mikufu, bangili, vikuku huvivaa wakitoka tu.
Sasa nimekupata buddyMbaya zaidi na hizo pombe zake akawa amejipiga picha na mh na kamera kailamba
nasema malima utajibeba ...wakichoka kuuza mwanahalisi na raia mwema na dira tunamrushia shigongo nae ale hela za picha zako na miiiiiiiiseeeeeeesiiiiiiiiiiiiiiii galatiiiiiiiiiiiiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
mode embu nipen wimbo wa shika hapa shika kule mkikosa
niwekeeeeeni wa dada ameoleeeeeewaaaaaa dada ameolewaaaaaaa mahariiiiiiiii ishatolewaaaaaa mahariii ishatolelewaaaaaaaaaaaa
Hoteli haiwezi kuchukua responsibility dada....tayari dagaa wameshasombwa na kokoro...Walinzi 3 wako ndani....
Naamini hao wataachiwa baadaye na kuombwa msamaha!!
Kweli kabisa kaka,
Ila kuna maswali mengi sana yanajitokeza...
1. Inawezekanaje, hoteli ambayo mtu analipa laki 4 iwe na ulinzi hafifu kiasi hicho, kana kwamba ni guest ya Uswazi?
2. Mheshimiwa alikuwa na pesa nyingi kiasi hicho za nini?? Kuna banks ambazo anaweza kuweka na kutoa hata dola kirahisi..Alikaa nazo chumbani kufanyia nini?
3. Taarifa ya awali kwamba kaibiwa vitu vyote + nguo imetoka wapi?? Nani kaitoa? Kwa nini?
Pamoja na kwamba sina sababu ya kukataa maelezo ya muheshimiwa, ila bado sijashawishika na maelezo yao so far!!
Hata mimi sielewi..Mtu ambaye ametembea sehemu nyingi za dunia, anakaa na vitu hatari chumbani na hata bila kuviweka kwenye sefu ya kutunzia vitu vya gharama???...Something is wrong here!!
Kweli ila hata maelezo yaliyotolewa hadi sasa hayatuachi bila utata...Ikiwa hivyo, sitashangaa watu wakianza kuteneza scenario nyingine ili kufikirisha vichwa vyao!!
sasa nimekupata buddy
ila sijaelewa ushabiki wako ni nini hasa
- malima kumlala huyu binti (kama kweli)??
- au malima kuibiwa vitu vyake??