Naibu Waziri anapopata ajali then Viongozi wakuu wa Wizara na nchi Kwa ujumla wasitoe pole Kwa familia siyo afya. Kuna fumbo

Labda kwakuwa pengine alitoka kudanga
 
Hata mgambo wakifanya uchunguzi jibu ni lile lile, waziri kaliabisha Taifa kwa ufuska, kifo na hasara ya mali ya serikali!
Uzuri hakutumwa na Serikali na hivyo basi Serikali haihusiki. Ufuska wake ni faraga yake, Serikali haina mamlaka huko.
Taifa linaaibika kivipi kwa Ufuska au Faraga Yakhee?

Ingekuwa vifo au hasara ni dhambi, labda. Mie naona tunaishutumu na kutuhum Serikali pasipo na Uhalisia wa mambo.

Hakika, kama mengine ni kweli-mchepuko+ kafurumushwa n.k aibu ni kwake na fedheha kwa Familia zote karibia nne pamoja na madhara ya kifo kwa moja. Ni Usongo kwake NW.
 
Kwanini taarifa ya huyu mtu ilifichwa sana, hakuna hata TV channel ilitangaza. Hii serikali imeoza. Wananchi siyo wajinga jambo liko wazi waziri alifanya kitendo cha aibu sana bado viongozi wakubwa km waziri mkuu na makamu wa rais wanashiriki huu upuuzi, kwa maslahi ya nani?

Na yule demu aliyekuwa naye utakuta hata nduguze wametishwa wasijitokeze na pengine wameshahongwa. Gari iliyotumika ni ya serikali ndiyo maana wakaondoa plate namba haraka, lakini wamesahau njia ya muongo ni fupi wamesahau kuweka plate namba feki ambayo namba zake tunaambiwa na RPC wa Dodoma lakini haionekana kwenye gari, gari haina plate namba.
 
Mimi imeshavunjika tayari tunalea watoto tu.
 
Fact
 
Usimalize maneno ......
 
Alikuwa ziara ya kikazi kukagua miradi ya Wananchi?
Mfano :
Kigwangala alikua na ziara ya kiserikali mbugani.
Yeye alikuwa anatoka kukagua mradi upi? Kikao kipi?
Kukagua mbususu, idara ya ustawi wa jamii japo yeye alichagua idara ya kuharibu jamii
 
Amepoteza uhai wa hawara akiwa anakimbia fumanizi la mkewe akiwa na gari ya Serikali. Unaanzaje kumpa salamu za pole Kiserikali?
 
Serikali si mtu, ni majumuiko ya mimi na wewe.
Bila watu hakuna serikali,
Walioteuliwa kutuongoza ni dhamana tu inayopaswa kutumika vizuri.
Ukiitumia dhamana hiyo kwa ufuska na kutumia rasilmali za serikali, wananchi NI LAZIMA WAILAUMU SERIKALI YAO.
 
Serikali si mtu, ni majumuiko ya mimi na wewe.
Bila watu hakuna serikali,
Walioteuliwa kutuongoza ni dhamana tu inayopaswa kutumika vizuri.
Ukiitumia dhamana hiyo kwa ufuska na kutumia rasilmali za serikali, wananchi NI LAZIMA WAILAUMU SERIKALI YAO.
Basi ni Muhimu tukaamini kuwa Ajali iliyotokea ilikuwa ajali kama ajali nyingine yeyote, ni ajali.
Taarifa hizi zimesha kanushwa na vyombo vya Ulinzi waliochunguza ajali hiyo. Gari wanadai lilikuwa la N.W. Yaani gari lake Binafsi. Na, hakuna aliyekufa katika ajali hiyo. Isitoshe, kitu ambacho hawakukisema ni huo ufuska, ikiwa ina maana huko sio eneo lao la kujikita kiuchunguzi.
Kwa lugha nyingine, Polisi wanasema kuwa hakuna Mwanamke aliyekufa katika ajali hiyo, wanasema kuna uzushi na upotoshaji kuhusu suala hilo....sasa mpaka iwe;Taarifa za Kifo ni kweli na Gari iliyokuwa ikiendeshwa na N.W ni ya Serikali...ni kweli..na labda tena iwe alikuwa akifanya Kazi za kiserikali ni kweli au la-binafsi, sioni kwanini niilaumu Serikali.

Niseme, sababu kubwa yangu kutokuwa na imani ya taarifa hizi na kuona kuwa kuna chembe za hila ya upotishaji na uzushi ni pale mmoja wa waleta mada/waanzishaji wa Uzi mmoja, aliandika habari za uzushi siku moja kabla ya kuleta Taarifa hizi hapa J.F[sio mleta wa mada hii na sio Uzi huu] na baada ya kuona uwasilishaji wake ndipo niliona kuna uwezekano kwa chembe, kuwa uzi huo/taarifa hiyo ilikuwa ni ya Kizushi.

Uzi huu au mada iliyopo juu -imedai, kuna Fumbo....sasa fumbo hilo, kwa maoni yangu ni Umakini. Wamekuwa makini katika suala zima.
 
Alikuwa ziara ya kikazi kukagua miradi ya Wananchi?
Mfano :
Kigwangala alikua na ziara ya kiserikali mbugani.
Yeye alikuwa anatoka kukagua mradi upi? Kikao kipi?
Alikuwa kwenye ziara ya kukagua mbunye!!
 
Kwa hiyo kama binaadamu tu hakufaa kutembelewa?!!!!

Mathalani kwa kuwa mimi ni mfungwa basi sistahili kufanyiwa UBINAADAMU?!!!

#SiempreJMT[emoji120]
 
Alikuwa ziara ya kikazi kukagua miradi ya Wananchi?
Mfano :
Kigwangala alikua na ziara ya kiserikali mbugani.
Yeye alikuwa anatoka kukagua mradi upi? Kikao kipi?
Si tunaambiwa alitoka kukagua mbususu
 
Hata VP alikosea, niliona sio sawa, VP kufanya hivyo ni kualalisha alichofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…