Naibu Waziri anapopata ajali then Viongozi wakuu wa Wizara na nchi Kwa ujumla wasitoe pole Kwa familia siyo afya. Kuna fumbo

Naibu Waziri anapopata ajali then Viongozi wakuu wa Wizara na nchi Kwa ujumla wasitoe pole Kwa familia siyo afya. Kuna fumbo

Heri Hilo tukio wangepiga tu kimya kimya kuliko hyo kwenda kimya kimya Sasa inaonyesha ana support uvunjifu wa maadili Sasa hapo funzo watu si wataona it's okay kufanya madudu maana bado nitapata support, pia serikali imefanya cover up ya uongo so Ina support matendo ya uvunjifu maadili
Cariha kwa fikra zako uko sahihi....

Ila unadhani mh.Makamu Wa Rais amekwenda kumjulia hali akiwa na fikra zilizoishia hizo ulizotuandikia hapo juu tu?!!!

Peace[emoji106]
 
Hivi huoni hata aibu kuandika hii thread? Hakutakiwa hata kutembelewa na makamu wa rais, yule ni mtovu wa maadili. Ameshaharibu gari ya serikali kwa ufuska wake, halafu serikali itoe pole. Rais alitakiwa ameshateua naibu mwingine na kumpuuza huko hospitalini apambane na hali yake. Baba wa Taifa ktk moja ya hotuba zake alituambia kiongozi wa serikali hatakiwi kuwa na maadili ya kutiliwa shaka yoyote. Alitoa mfano wa Uingereza kuwa kulikuwa na waziri moja mdogo alionekana akitembea na kimwana mjini London, wananchi walipopiga kelele yule waziri aliandika barua ya kujiuzulu na waziri mkuu wa Uingereza wa wakati ule hata hakumjibu aliteua mtu mwingine kuwa waziri alimpuuza tu. Sasa hawa wa kwetu eti makamu wa rais anaeenda kumpa pole hospitalini.

Nimemdharau sana huu makamu wa rais anaongea kwa sauti wa unyenyekevu kumbe unafki tu, ni km mapadre wa kanisa katoliki wanaongeaga kwa sauti fulani ya unyenyekevu sasa nenda kafuatilie matendo yao mitaani, ni washenzi, na usisahau naye ni mkatoliki. Ngoja tuone akipona km ataendelea na nafasi yake ndio tutajua hii ni serikali ya manguruwe tu haina maadili yoyoye na wananchi wataidharau sana.
Umekosea sn kuchanganya stori hiyo na kutaja mapadri

Na hata kama kuna mapadri wa dizaini hiyo ungesema baadhi ya mapadri

Lkn kusema mapadri wa katoliki ina maana ni wote
 
Hivi huoni hata aibu kuandika hii thread? Hakutakiwa hata kutembelewa na makamu wa rais, yule ni mtovu wa maadili. Ameshaharibu gari ya serikali kwa ufuska wake, halafu serikali itoe pole. Rais alitakiwa ameshateua naibu mwingine na kumpuuza huko hospitalini apambane na hali yake. Baba wa Taifa ktk moja ya hotuba zake alituambia kiongozi wa serikali hatakiwi kuwa na maadili ya kutiliwa shaka yoyote. Alitoa mfano wa Uingereza kuwa kulikuwa na waziri moja mdogo alionekana akitembea na kimwana mjini London, wananchi walipopiga kelele yule waziri aliandika barua ya kujiuzulu na waziri mkuu wa Uingereza wa wakati ule hata hakumjibu aliteua mtu mwingine kuwa waziri alimpuuza tu. Sasa hawa wa kwetu eti makamu wa rais anaeenda kumpa pole hospitalini.

Nimemdharau sana huu makamu wa rais anaongea kwa sauti wa unyenyekevu kumbe unafki tu, ni km mapadre wa kanisa katoliki wanaongeaga kwa sauti fulani ya unyenyekevu sasa nenda kafuatilie matendo yao mitaani, ni washenzi, na usisahau naye ni mkatoliki. Ngoja tuone akipona km ataendelea na nafasi yake ndio tutajua hii ni serikali ya manguruwe tu haina maadili yoyoye na wananchi wataidharau sana.
Nguruwe anashida gani nduguyangu. Ile kitu sio y mchezo mchezo. Tafute mfano mwingine tafadhali
 
Cariha kwa fikra zako uko sahihi....

Ila unadhani mh.Makamu Wa Rais amekwenda kumjulia hali akiwa na fikra zilizoishia hizo ulizotuandikia hapo juu tu?!!!

Peace[emoji106]
Nadhani naye kaenda kumjulia ka mgonjwa mwingine pia kuonyesha serikali ipo pamoja na mgonjwa na Ina mu support ndio maana baada ya makamu kwenda ndio ukaona jeshi limekuja na cover up ya uongo kumfichia huyo waziri madudu yake
 
Huyo ni binadamu aliekosea kama.inavyosemekana
Serikali ingeweka wazi yaliyotokea na kwa aibu Rais angechagua mwingine

Ila serikali hii huwa inaona hao wafanyakazi walioteuliwa ni ndugu wote na wanateteana hata kwa wizi tumeona

Hii ni dhambi na lazima likemewe tena na Rais mbele ya umma
Usitegemee chochote Toka awamu hii.

Watu wanaiba Rais anakaa kimya.

Watu wanafanya ufuska ana Kaa kimya.

Nchi inauzwa, anakaa kimya.

Tuna kiongozi ambaye hajui cha kufanya.

Sijui anamwogopa nani au nini??
 
Viongozi wanapopata ajali tumezoea kuona viongozi wenzake kupitia akaunti zao binafsi za mitandao ya kijamii zikitoka pole Ila kwa huyu Naibu Waziri watu wamekaa kimya.

Sidhani kama inaleta afya, inaonyesha kama ametengwa.

Tujitahidi kuondoa double standard Kwa Sababu angekuwa anatoka miongoni mwa zile big eighty families lazima viongozi wote wangepost, Ila Kwa Sababu kapenya kutokea Kwa mkulima kuja kuwa Naibu waziri no one cares.

Tunayo mifano mingi ya ajali za viongozi na namna zilivyoripotiwa ila hii hapana. Tuweke usawa hata Kwa unafiki. hata tovuti ya wizara imedelay Sana ikiwemo Bunge.

Zaidi, soma: Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange, apata ajali ya gari
Au inategemea mtu amepata ajali katika mazingira gani au akiwa anafanya nini?
 
Mzinzi mkubwa ktk ubora wakee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nashangaa sasa alikua anakimbia nn, akati alichokua anafanya ni sahihi na kinakubalika kwa jamii. Uwiiiiih
Kumtmba mke wa mwenzio inakubalika toka lini? 😀
 
Alikuwa ziara ya kikazi kukagua miradi ya Wananchi?
Mfano :
Kigwangala alikua na ziara ya kiserikali mbugani.
Yeye alikuwa anatoka kukagua mradi upi? Kikao kipi?
Kwa hyo pole inamipaka?? Tuseme jambo hili limegubikwa na urata... Polisi wenyewe wamekaa siku tatu ndo wanatoa taarifa..
 
Nyepesi mshikaji alikuwa katoka kwenye mizagamuo na nke wa mtu, if proved hii ni kashfa kubwa ya mwaka na ni doa kubwa kwa serikali yetu.

Kwa sisi ambao wake zetu wapo Dodoma kikazi na sisi tumebakia Dar na watoto aisee tuna mawazo mengi sana juu ya usalama wa ndoa zetu hizi..🙁
Mpokeeni Yesu awe BWANA na Mwokozi wa maisha yenu hiyo hofu haitakuwako tena
 
# alikuwa na gari binafsi,
# alikuwa pekee yake garini,
# ajali sababu ni bodaboda,
# alikuwa mwendo wa kawaida,
 
Acha utopolo usio na mashiko.
Waziri kijana alipata ajali katika mzingira gani?
Ni mazingira ya ufuska , yanafaa kuenziwa na Taifa?

Waziri Mkuu mmoja huko Uingereza alimfuta kazi bila hata kuonana naye waziri mdogi wa serikali yake, habari zilipojitokeza kuwa ameonekana na machangudia kwenye vyombo vya habari.

Hizi ndiyo moral standards zitarajiwazo kwa viongizi.
Kwakweli !
 
# alikuwa na gari binafsi,
# alikuwa pekee yake garini,
# ajali sababu ni bodaboda,
# alikuwa mwendo wa kawaida,
Nchi hii watu kusingiziana maovu imeshakuwa ndio fasheni ya Nchi iliyoanzishwa na watu wa kijani kijani So there is nothing strange na kazi hii iendelee mpaka watakaposingiziana wenyewe kwa wenyewe !!
 
Kwa hiyo waliokosea hawapaswi kujuliwa hali pia?
Au unataka kumaanisha kwamba kwa vile makamu wa Rais kaenda kumjulia hali, ndo basi tena hawezi kuwajibishwa kwa ufuska wake aliofanya?
Mi nadhani nchi yetu ni moja kati ya nchi zenye mifumo bora kabisa duniani.
Hivyo, kikubwa wafanye uchunguzi, ikibainika kama kweli alikuwa kwenye mambo yake ya kibinafsi kwa kutumia gari la serikali, basi awajibishwe.
Shamba la bwana Heri na mbuzi wa bwana Heri =. Dismiss case ! Nani anabisha ??!
 
Kwanini taarifa ya huyu mtu ilifichwa sana, hakuna hata TV channel ilitangaza. Hii serikali imeoza. Wananchi siyo wajinga jambo liko wazi waziri alifanya kitendo cha aibu sana bado viongozi wakubwa km waziri mkuu na makamu wa rais wanashiriki huu upuuzi, kwa maslahi ya nani?

Na yule demu aliyekuwa naye utakuta hata nduguze wametishwa wasijitokeze na pengine wameshahongwa. Gari iliyotumika ni ya serikali ndiyo maana wakaondoa plate namba haraka, lakini wamesahau njia ya muongo ni fupi wamesahau kuweka plate namba feki ambayo namba zake tunaambiwa na RPC wa Dodoma lakini haionekana kwenye gari, gari haina plate namba.
Wanasemaga la kuvunda halina Ubani !!
 
Hao ndio ccm bro hakuna cha kushangaa!
Ni kama wana vinasaba na yule jamaa! aliyetaka kumpindua Sir God!
 
Back
Top Bottom