Naibu Waziri anapopata ajali then Viongozi wakuu wa Wizara na nchi Kwa ujumla wasitoe pole Kwa familia siyo afya. Kuna fumbo

Cariha kwa fikra zako uko sahihi....

Ila unadhani mh.Makamu Wa Rais amekwenda kumjulia hali akiwa na fikra zilizoishia hizo ulizotuandikia hapo juu tu?!!!

Peace[emoji106]
 
Umekosea sn kuchanganya stori hiyo na kutaja mapadri

Na hata kama kuna mapadri wa dizaini hiyo ungesema baadhi ya mapadri

Lkn kusema mapadri wa katoliki ina maana ni wote
 
Nguruwe anashida gani nduguyangu. Ile kitu sio y mchezo mchezo. Tafute mfano mwingine tafadhali
 
Hili lingetokea huko majuu Kuna watu wangekuwa washajiuzulu mapema tu.
 
Cariha kwa fikra zako uko sahihi....

Ila unadhani mh.Makamu Wa Rais amekwenda kumjulia hali akiwa na fikra zilizoishia hizo ulizotuandikia hapo juu tu?!!!

Peace[emoji106]
Nadhani naye kaenda kumjulia ka mgonjwa mwingine pia kuonyesha serikali ipo pamoja na mgonjwa na Ina mu support ndio maana baada ya makamu kwenda ndio ukaona jeshi limekuja na cover up ya uongo kumfichia huyo waziri madudu yake
 
Usitegemee chochote Toka awamu hii.

Watu wanaiba Rais anakaa kimya.

Watu wanafanya ufuska ana Kaa kimya.

Nchi inauzwa, anakaa kimya.

Tuna kiongozi ambaye hajui cha kufanya.

Sijui anamwogopa nani au nini??
 
Au inategemea mtu amepata ajali katika mazingira gani au akiwa anafanya nini?
 
Mzinzi mkubwa ktk ubora wakee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nashangaa sasa alikua anakimbia nn, akati alichokua anafanya ni sahihi na kinakubalika kwa jamii. Uwiiiiih
Kumtmba mke wa mwenzio inakubalika toka lini? 😀
 
Alikuwa ziara ya kikazi kukagua miradi ya Wananchi?
Mfano :
Kigwangala alikua na ziara ya kiserikali mbugani.
Yeye alikuwa anatoka kukagua mradi upi? Kikao kipi?
Kwa hyo pole inamipaka?? Tuseme jambo hili limegubikwa na urata... Polisi wenyewe wamekaa siku tatu ndo wanatoa taarifa..
 
Mpokeeni Yesu awe BWANA na Mwokozi wa maisha yenu hiyo hofu haitakuwako tena
 
# alikuwa na gari binafsi,
# alikuwa pekee yake garini,
# ajali sababu ni bodaboda,
# alikuwa mwendo wa kawaida,
 
Kwakweli !
 
# alikuwa na gari binafsi,
# alikuwa pekee yake garini,
# ajali sababu ni bodaboda,
# alikuwa mwendo wa kawaida,
Nchi hii watu kusingiziana maovu imeshakuwa ndio fasheni ya Nchi iliyoanzishwa na watu wa kijani kijani So there is nothing strange na kazi hii iendelee mpaka watakaposingiziana wenyewe kwa wenyewe !!
 
Shamba la bwana Heri na mbuzi wa bwana Heri =. Dismiss case ! Nani anabisha ??!
 
Wanasemaga la kuvunda halina Ubani !!
 
Hao ndio ccm bro hakuna cha kushangaa!
Ni kama wana vinasaba na yule jamaa! aliyetaka kumpindua Sir God!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…