Ujinga wako isikufanye utukane watu...wewe ulisema nchini kwenu haijawahi tokea kuwa na Naibu Waziri Mkuu...mm nimekwambia hapa kwetu imewahi kitokea! Sasa maji ya kijani yanatoka wapi we mtoto...kama unapenda kushiriki kwenye midahalo ya kiasiasa ,uwe unajieleimisha kidogo Historia na Siasa ..usikurupuke!Umekunywa maji ya kijani unatapika tu sasa!
Huyo Biteko hana ushawishi huo kwa kanda ya ziwaNaibu waziri mkuu kaja kubalance influence ya kanda ya Ziwa!! Lissu na Mbowe wameivuruga lake zone mbaya kabisa CCM inapumulia mashine!!
Rais anaweza kufuta cheo cha waziri mkuu?Anaruhusiwa...View attachment 2733336
Mama alieleza Majuzi kasimu anasumbuka sana kupita kila pahala kurekebisha maana kila mahala panakuwa pabovu watendaji wanakwiba wanalala hawafanyi wako bize na miradi yao, kazi mpaka wasukumwe tabu kweli, na ndio sababu ya kupewa msaidizi, THATS SO GOOD!Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake?
Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri na Muungano wa Tanzania.
Pia soma - "Naibu Waziri Mkuu" ni Cheo Nyeti Sana, huwa hakitolewi ovyo ovyo
Ngoja tuwasubiri wataalamu wetu wa Sheria/Katiba kina Pascal Mayala watuelimishe kama cheo kipo au hakipo. Na kama hakipo wananchi tunaweza kukigomea hiko cheoHicho cheo hakipo kisheria! Kwenye katiba yetu pendwa hicho cheo hakipo!
Mrema alikufa na kinyongo cha kutokulipwa MAFAO yake ya Cheo hicho wajanja wakamwambia alete KATIBA inayokitambua cheo hichoHilo la naibu waziri mkuu wala sio jipya hata Lyatonga Mrema alishika hiyo nafasi
Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
Hakipo ni matumizi mabaya ya katibaNgoja tuwasubiri wataalamu wetu wa Sheria/Katiba kina Pascal Mayala watuelimishe kama cheo kipo au hakipo. Na kama hakipo wananchi tunaweza kukigomea hiko cheo
Yaani ukabila unatutesa snHii ndo shida yako. Umekaa kikabila sana we mpuuzi
Huenda Waziri Mkuu anakabiliwa na safari nyingi za kwenda Tandahimba hivyo anahitaji msaidizi.Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake?
Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri na Muungano wa Tanzania.
Pia soma - "Naibu Waziri Mkuu" ni Cheo Nyeti Sana, huwa hakitolewi ovyo ovyo
Maji yamezidi unga,mama abdul kachokaJamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake?
Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri na Muungano wa Tanzania.
Pia soma - "Naibu Waziri Mkuu" ni Cheo Nyeti Sana, huwa hakitolewi ovyo ovyo
eleza wewe basi kwa ufasaha watu waelewe, sasa unaishia tu kadanganya halafu hujasema huo UkweliAcha uongo wewe,kama wewe ulidanganywa,acha kuwadanganya wengine
Na pesa piaHakipo ni matumizi mabaya ya katiba
Inapaswa kifurahi sana kwa sababu nafasi za ajira zikiwa finyu basi mzunguko wa pesa unakuwa mdogo pia by multiplier effects. Kama office ya waziri mkuu ilikuwa ikitengewa let say bil 3 inbidi ziongezeke ziwe let say bil 10 ikiweno ofisi ya naibu waziri mkuu. Hivyo pesa itazunguka na kukufikia wewe kwa njia mbalimbali.Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake?
Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri na Muungano wa Tanzania.
Pia soma - "Naibu Waziri Mkuu" ni Cheo Nyeti Sana, huwa hakitolewi ovyo ovyo