Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Wanapeana positions kishkaji zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Position ya NAIBU RAIS aliyokua anaishikilia Bashite ipo wazi hadi sasa.Subiri ateuliwe naibu wa makamu wa rais ndio ujue 😂 😂
Basi tusubiri ateuliwe mwinginePosition ya NAIBU RAIS aliyokua anaishikilia Bashite ipo wazi hadi sasa.
akili mbovu, anafanya nini mbacho bila nafasi hiyo kilikuwa hakifanyiki.... kuna mtu kukosa independet thinking...mpaka fulani afikiri ka niaba yake!Nilikuwa sioni upungufu wowote kwenye UTATU wa Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu
Na hata sasa sioni upungufu wowote kwenye UTATU ni kwamba Kazi zote zinakwenda sawia
Anyway Siasa ni Sayansi 😂
Naibu Waziri Mkuu ni intern wa Uwaziri Mkuu!Nilikuwa sioni upungufu wowote kwenye UTATU wa Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu
Na hata sasa sioni upungufu wowote kwenye UTATU ni kwamba Kazi zote zinakwenda sawia
Anyway Siasa ni Sayansi [emoji23]
Kuongoleza matumizi ya serikali yasiyokuwa ya lazimaNilikuwa sioni upungufu wowote kwenye UTATU wa Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu
Na hata sasa sioni upungufu wowote kwenye UTATU ni kwamba Kazi zote zinakwenda sawia
Anyway Siasa ni Sayansi [emoji23]
Katiba imempa Rais uhuru mkubwa sana aiseeh.Katika Ibara ya 36 na 37, Katiba inampa rais mamlaka ya kuunda na au kufuta nafasi za madaraka katika serikali kadiri anavyoona inafaa katika kutekeleza shughuli za serikali.
Maana yake ni kwamba, pamoja na kwamba Katiba inatamka na kuorodhesha nafasi za kiuongozi, Katiba hiyo pia inampa rais uhuru wa kuamua kuunda na au kufuta vitengo serikalini.
NB: Katiba haikaweka wazi iwapo rais anaweza kuvifuta vyeo vilivyotajwa na Katiba mfano, Spika, Waziri Mkuu n.k isipokuwa, tumeona marais wakiwa wanaunda na au kuzifuta wizara na idara mbalimbali serikalini. View attachment 2835369
Inategemea na mtu anayekalia kiti cha uraisKatiba imempa Rais uhuru mkubwa sana aiseeh.
Hakuna asichoweza kufanya kwa Katiba hii.
Acha ushamba hao wasukuma wameletwa Tanzania baada ya Magu kuwa rais? Kura ni za watanzania we kengeJamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake?
Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri na Muungano wa Tanzania.
---
Mbn mapumbavu nyie hiyo. Acheni ushambaNaibu waziri mkuu kaja kubalance influence ya kanda ya Ziwa!! Lissu na Mbowe wameivuruga lake zone mbaya kabisa CCM inapumulia mashine!!
SAIGILOMAGEMA wabejaaMbn mapumbavu nyie hiyo. Acheni ushamba
Inategemea na mtu anayekalia kiti cha urais
Upo serious na nchi yako, yaani umeshika hadi vifungu vya sheria za nchi😂Katika Ibara ya 36 na 37, Katiba inampa rais mamlaka ya kuunda na au kufuta nafasi za madaraka katika serikali kadiri anavyoona inafaa katika kutekeleza shughuli za serikali.
Maana yake ni kwamba, pamoja na kwamba Katiba inatamka na kuorodhesha nafasi za kiuongozi, Katiba hiyo pia inampa rais uhuru wa kuamua kuunda na au kufuta vitengo serikalini.
NB: Katiba haikaweka wazi iwapo rais anaweza kuvifuta vyeo vilivyotajwa na Katiba mfano, Spika, Waziri Mkuu n.k isipokuwa, tumeona marais wakiwa wanaunda na au kuzifuta wizara na idara mbalimbali serikalini. View attachment 2835369
NaamUpo serious na nchi yako, yaani umeshika hadi vifungu vya sheria za nchi😂
Ndiyo 1977katiba inayotumiaka ilitungwa kipindi Nyerere yupo madarakani?
Ila alitubu kasema; hii Katiba ilimpa madaraka makubwa, na ingeweza kumfanya akawa diktetaAlijitungia vitu vizuri hakujua kama atakufa atatuachia msala