Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

Haya naona kuna kiungo anapasha misuli kuchukua nafasi ya Naibu Rais na Waziri wa ........

Subiri hapo hapo
 
Nilikuwa sioni upungufu wowote kwenye UTATU wa Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu

Na hata sasa sioni upungufu wowote kwenye UTATU ni kwamba Kazi zote zinakwenda sawia

Anyway Siasa ni Sayansi 😂
akili mbovu, anafanya nini mbacho bila nafasi hiyo kilikuwa hakifanyiki.... kuna mtu kukosa independet thinking...mpaka fulani afikiri ka niaba yake!

Angalia wasikufute uanachma wakikugundua rafiki yangu...utakufa njaa
 
Katika Ibara ya 36 na 37, Katiba inampa rais mamlaka ya kuunda na au kufuta nafasi za madaraka katika serikali kadiri anavyoona inafaa katika kutekeleza shughuli za serikali.

Maana yake ni kwamba, pamoja na kwamba Katiba inatamka na kuorodhesha nafasi za kiuongozi, Katiba hiyo pia inampa rais uhuru wa kuamua kuunda na au kufuta vitengo serikalini.

NB: Katiba haikaweka wazi iwapo rais anaweza kuvifuta vyeo vilivyotajwa na Katiba mfano, Spika, Waziri Mkuu n.k isipokuwa, tumeona marais wakiwa wanaunda na au kuzifuta wizara na idara mbalimbali serikalini.
 
Katiba imempa Rais uhuru mkubwa sana aiseeh.
Hakuna asichoweza kufanya kwa Katiba hii.
 
Acha ushamba hao wasukuma wameletwa Tanzania baada ya Magu kuwa rais? Kura ni za watanzania we kenge
 
Upo serious na nchi yako, yaani umeshika hadi vifungu vya sheria za nchi😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…