Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Aliyemteua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais ndio anajichanganya, elimu ya jamaa haina mashaka yoyote, kilichomtokea hakihusiani na elimu.Watu wanapo sema jamaa huteua watu kwa majina nila kumchunguza sasa muamini.
Hivi Rais ana kuteu kushika nafasi ya juu halafu hujui hata una elimu gani?
Kipindi hiki cha Meko mtaona mengi.
Ati achunguzwe!! Kweli???
Hizi ni aibu za ikulu sio za Tanzania.
Kile chenyewe mzeeKile ni Kipapai kabisa... Mtu mzima ashindwe kusoma viel, tena kiapo cha kiswahili???
Kasha tenguliwa tayariKwa hiyo atapewa nafasi tena au ndo imetoka?
ccm mbele kwa mbeleeeeeee! baba mwenyewe vile wateule watafanyeje sasaNasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.
Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!..
Kuna mambo mengi kwenye siasa kuna mmoja alishangaa tu chupi imevuka yenyewe kwenye hizi kampeni kila akiipandisha inashuka na wala haijakatika nzima kabisa😂😂😂 Mimi sishangai sababu ndani ya chichiemu kuna yule muweka nia yule mdada alishindwa kujielezea
Meko sijui anawafanya nini? 2015 Stela Manyanya naye alipaniki hivyo hivyo!
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
babeli umeanguka mji ule uliomkuu mama wa makahaba machukizo ya nchiMods ondoa hii maneno. Haina tija Happ kwetu sisi. Sasa Kama mwenyewe kashindwa kusoma kiapo.. sisi inatuhusu Nini...Ni sawa na wewe umeenda kufanya mtihani then ukafeli. Sasa tutajadili vipi jinsi ulivyofeli..haiwezekani.
Hakuna la kujifunza, yeye ndio anajua ukweli wa kilichotokea!
Hii nilisharekebisha kitambo bila kuambiwa.. Binafsi kiswahili ni lugha yangu na naipenda..Ni tatizo la nchi, mwingine anaweza akawa na tatizo katika kusoma, na mwingine katika kuandika. Tena afadhali yeye alikuwa LIVE na hivyo makosa yalionekana immediately na hakupata fursa ya kuedit, wengine wanayo fursa ya kuandika na kuedit kabla ya kupost lakini bado wanatia "haibu"
Umeanza kufukua ya nyuma.Tukisema ccm hawakushinda uchaguzi bali walitangazwa washindi mnatokwa na mishipa ya shingo.
Hivi unadhani jamaa hajui kusoma? Mbona aliapa bungeni?..yaliyotokea ni mambo ya kibinadamuNasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.
Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!...
Watu wanakuvuta shati hahaaHivi unaleta mchezo kupata tonge ukawaacha wakongwe.
Unadhani leo ndio mara ya kwanza anaapishwa?!Hakuamini Kama ni yeye kweli anayeapishwa.
Kwakweli.Uchawii upo jamani si bure msomi wetu kushindwa kusoma.Nimemuonea huruma huyu Baba,hatakaa asahau hii siku ya leo[emoji24]