Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Hivi manaibu waziri wanaingia kwenye vikao vya baraza la mawaziri?

Hizo siri gani wanazoapa kuzilinda na dhidi ya nani? Hivi viapo viwe extended..sio ilimradi eti siri..unaenda kwa maslahi ya wananchi wako,kisha unasepa kutunza siri. Ndiyo maana ufisadi hauwezi kuisha.

Wangeapa mbele ya PM tu tena kwa kikundi ingetosha.
 
Watu wanapo sema jamaa huteua watu kwa majina nila kumchunguza sasa muamini.
Hivi Rais ana kuteu kushika nafasi ya juu halafu hujui hata una elimu gani?
Kipindi hiki cha Meko mtaona mengi.
Ati achunguzwe!! Kweli???
Hizi ni aibu za ikulu sio za Tanzania.
Rais ndio anajichanganya, elimu ya jamaa haina mashaka yoyote, kilichomtokea hakihusiani na elimu.

Kibajaj ni darasa la saba lakini hajawahi kubabaika kusoma kiapo cha ubunge, infact hata yeye huyo jamaa ni mbunge na alishaapa bungeni msilisahau hili.
 
Yaaan kirahis tu kakosa shangingi na mafwedha, uwiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia haiko fair wallah
 
Hakuamini Kama ni yeye kweli anayeapishwa.
 
Sasa mtaamini kuwa ccm wao ndio walikuwa hawajui kujaza fomu za udiwani na ubunge ila walibebwa. Na hii ndio madhara ya kuiba kura na kumpitisha mtu hajui chochote aibu mbele ya watanzania
 
Ni tatizo la nchi, mwingine anaweza akawa na tatizo katika kusoma, na mwingine katika kuandika. Tena afadhali yeye alikuwa LIVE na hivyo makosa yalionekana immediately na hakupata fursa ya kuedit, wengine wanayo fursa ya kuandika na kuedit kabla ya kupost lakini bado wanatia "haibu"
Hii nilisharekebisha kitambo bila kuambiwa.. Binafsi kiswahili ni lugha yangu na naipenda..
Angalia vizuri huko juu na nilirekebisha mda gani..!!
 
Mnaambiwa vuteni bangi hamtaki.

Angesokota na kupuliza moja angeapa bila kuchechemea!

Kuna miamba kule chuo walikuwa hawaendi presentation bila kusokota na kupuliza kwa kuhofia mambo kama haya.

Bangi umeshindwa basi hata K-Vant?
 
Back
Top Bottom