Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Hahahaaaaaaaaa Yanga wabaya sanaa wamemzalilisha MZEE wawatu KISA katokeaa KULE....
 
Kachukizwa kutoweza kuapa, kamtia aibu
Kama kashindwa kuapa basi hata ubunge hakushinda.

Tukisema maccm wengi waliokotwa majalalani mnabisha
Eti bwege alipigwa chini na huyo duh kweli mccm ni majizi
 
Kama kashindwa kuapa basi hata ubunge hakushinda.

Eti bwege alipigwa chini na huyo duh kweli mccm ni majizi
Haijalishi maana atakaye teuliwa ni CCM vile vile
 
Francis Ndulane mbunge wa CCM wakati Rais akihoji changamoto ya mbunge huyo kushindwa kuapa.

Ni mbunge wa CCM Jimbo la Kilwa Kaskazini Francis Ndulane mkoa wa Pwani nchini Tanzania. Pia kabla ya kugombea ubunge jimbo la Kilwa, waziri mdogo Francis Ndulane alipata kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa mji wa Ifakara mkoani Morogoro 118 Mil zatolewa kwa vikundi .
 
Ukiwa mtu wa kujitenga tu huwezi kujiamini inabidi ujichanganye vijiweni draft, bao, poolbtable, maskani n.k
 
Wataalamu wa afya ya akili na tabia (saikolojia) tunafahamu vitu kama hivi hutokea kwa namna gani ?

Mwenye kutoelewa atakimbia kuangalia elimu, kulogwa nk
 
Yule mama wa wizara ya fedha atakuwa amesamehewa kwa kuwa ni mweupe.....
 
Haya ni matokeo ya waalimu kuwajaza watoto woga badala ya ujasiri, ni inakua ngumu woga huo kuondoka hata mtoto akiwa mkubwa, viboko shuleni iwe kwa watoto watukutu tu.
 
Kuna ushirikina hapa maana kuna mwalimu mmoja iliwahi kumtokea mpaka kidigo aachishwe kazi kuwa hajui kusoma

Kila kitu ni ushirikia kwenu. Miafrika bana
 
Mataga bana. Hayo ndio matokeo ya kuharibu uchaguzi. Daadeki. Na mbaado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…