Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kashindwa kuapa basi hata ubunge hakushinda.Kachukizwa kutoweza kuapa, kamtia aibu
Changamoto gani?, anateua tu mwingine Kama alivyosema.Mimi naona mwenye changamoto ni aliyemteua
Haijalishi maana atakaye teuliwa ni CCM vile vileKama kashindwa kuapa basi hata ubunge hakushinda.
Eti bwege alipigwa chini na huyo duh kweli mccm ni majizi
Ukiwa mtu wa kujitenga tu huwezi kujiamini inabidi ujichanganye vijiweni draft, bao, poolbtable, maskani n.kWaTZ wengi hawajazoezwa mashuleni na vyuoni kujiamini. Hata wanachuo wa University more than 70% hawawezi kabisa kujieleza. Hata akiulizwa swali na mwalimu, hawezi kujieleza;b tena kama ndiyo kwa lugha ya malkia, Ni msiba atatafuta pa kukimbilia akajifiche. Ila kujieleza kwa maandishi, hawajambo.
Somo la kujiamini litiliwe mkazo mashuleni na vyuoni.
Hujui unachokiongea mtu anaongea pumba ionekane umechangiaNa wewe acha kuwa mjinga yani unampongeza mtu alichagua naibu waziri asiye jua kusoma?
Misumari...Kigwa bado yuko tungurini!
Picha ya Muhusika Please 🤣🤣🤣🤣Hakutarajia kupata ubunge, pia hakutarajia kabisa kupata unaibu Waziri.
Wamvumilie tu
NI kweli.Francis Kumba Ndulane alikuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji Ifakara.
Hiyo masters kaipata Mzumbe main campus Morogoro
Uwe unafunga mdomo wako shule zote alizopitia hizo mpaka leo atakuwa amebebwa vipi?Hawa ndo wale wa kubebwa..
Cheo unapewa kulipa fadhila sio kwa uwezo ulionao
Haya sasa huyu waziri anatetemeka hivi Kuapa,kwenye majukumu itakuaje?
Youtube ipo mbona?!!Kama mutaweza kutuwekea clip itakuwa bora kwa sisi wengine. Maana hatukuona na sijui kama watarudia kuonesha.
Kuna ushirikina hapa maana kuna mwalimu mmoja iliwahi kumtokea mpaka kidigo aachishwe kazi kuwa hajui kusoma
Mungu kawaumbua kirahisi sana !Hapo sasa, halafu tunaambiwa kulikuwa na umakini mkubwa kwenye uteuzi wa mawaziri. Ifahamike pia walipitia mchakato wa ubunge!