Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Kasema?Alisema pale kuwa wamemchomekea, waliomfanyia vetting huyo kilaza wanalo, hii ni kashfa kubwa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasema?Alisema pale kuwa wamemchomekea, waliomfanyia vetting huyo kilaza wanalo, hii ni kashfa kubwa sana.
Wengine wanasema ni Saidi Bagaile effect, hatujui tushike lipi, yote kwa yote watajuana wenyewe.Tatizo la watu wenye akili finyu huwa wanalaum tu, yaani umesahau kabisa kua kuna mambo ya kisaikolojia yanayoweza kua yamesababisha haya kutokea
Mind you huyo jamaa ana masters ya finance,ni kitete tu,magu angemsanehe tuNasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.
Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!
Hawa watu mbona kama wamemtia doa mkuu wa nchi, maana sinawahi kushuhudia mtu akitumbuliwa kwa kushindwa kusoma kiapo na kutamka!
Hii inaleta picha gani? Kuwa kama ni kweli kwamba watu wanaomfanyia vetting mkuu wa nchi hawako makini mpaka wanampa majina ya watu ambao wanashindwa kuapa!
Au ni mambo ya kijamii yameitawala Tanzania,ndio maana watu wengi wenye IQ kubwa huwezi kuwakuta kuwa ni viongozi?
Inasikitisha sana kwa Taifa ambalo linajinasibu kuwa ni moja ya taifa kubwa hapa Afrika mashariki, waziri mdogo anashindwa hata kusoma na kula kiapo. Nafikiri maneno aliyosema Askofu Rashid kuwa wengi wa wabunge wa CCM walipita kwa mgongo wa kiongozi wao wa chama,sababu 70% walikuwa hawana uwezo na hata kukubalika ilikuwa ni kwa mashaka
Kwa ujumla aliyeshindwa kuapa na aliyemtumbua wote wameaibika.
Kwani anatokea chuo gani?au ni pale jalalani?Uchawii upo jamani si bure msomi wetu kushindwa kusoma. Nimemuonea huruma huyu Baba, hatakaa asahau hii siku ya leo[emoji24]
Mshaaibika tayari huko. Daah ccm! Mnafanya mambo kwa mazoeaSasa jomba hi inatuhusu Nini sisi..hatujui JPM alimtoa wapi hatujui alikuwa wapi kabla na wala hatujui ana elimu gani..kwa maana hiyo Wala hatuwezi jadili hi kitu..mambo ya Ndani fullstop
Nakaa kimya, maana vilaza wenye iq -1 ndio wanasmarphone na wamejazana Jf kusumbua watu.
Mkuu kasema inabidi ichunguzwe.Mind you huyo jamaa ana masters ya finance,ni kitete tu,magu angemsanehe tu
Alisahau miwani yakeMods ondoa hii maneno. Haina tija Happ kwetu sisi. Sasa Kama mwenyewe kashindwa kusoma kiapo.. sisi inatuhusu Nini...Ni sawa na wewe umeenda kufanya mtihani then ukafeli. Sasa tutajadili vipi jinsi ulivyofeli..haiwezekani.
Haina ushahidi hii.PM ndo aliependekeza, tena mkuu akikataa ila akashinikizA then akapita
Swali zuri!Ubunge aliapa vp?
Kamuulize mama yako.Kama kuwa na smartphone na kuwa JF ndo quality za low IQ basi wote, wewe na mimi tuna IQ ndogo maana tunazo hizo qualities zote.
Sasa turudi kwenye swala la msingi, ambalo bado hujanipa jibu, Kama mtu ana IQ kubwa afu hajatoka kimaisha na anaongozwa na mwenye IQ ndogo, niambie hiyo IQ yake imemsaidia nini?
Aibu sana hii ccmNasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.
Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!
Hawa watu mbona kama wamemtia doa mkuu wa nchi, maana sinawahi kushuhudia mtu akitumbuliwa kwa kushindwa kusoma kiapo na kutamka!
Hii inaleta picha gani? Kuwa kama ni kweli kwamba watu wanaomfanyia vetting mkuu wa nchi hawako makini mpaka wanampa majina ya watu ambao wanashindwa kuapa!
Au ni mambo ya kijamii yameitawala Tanzania,ndio maana watu wengi wenye IQ kubwa huwezi kuwakuta kuwa ni viongozi?
Inasikitisha sana kwa Taifa ambalo linajinasibu kuwa ni moja ya taifa kubwa hapa Afrika mashariki, waziri mdogo anashindwa hata kusoma na kula kiapo. Nafikiri maneno aliyosema Askofu Rashid kuwa wengi wa wabunge wa CCM walipita kwa mgongo wa kiongozi wao wa chama,sababu 70% walikuwa hawana uwezo na hata kukubalika ilikuwa ni kwa mashaka
Kwa ujumla aliyeshindwa kuapa na aliyemtumbua wote wameaibika.
Hii ni aibu kwa taifa letuAibu sana hii ccm
Wacha ujinga wako hapa,huyo atakuwa ni kihiyo tuTatizo la watu wenye akili finyu huwa wanalaum tu, yaani umesahau kabisa kua kuna mambo ya kisaikolojia yanayoweza kua yamesababisha haya kutokea
Ccm ni janga zaidi ya covidHii ni aibu kwa taifa letu
Mama yako bado hajakufahamisha iq ni kitu gani?Kama kuwa na smartphone na kuwa JF ndo quality za low IQ basi wote, wewe na mimi tuna IQ ndogo maana tunazo hizo qualities zote.
Sasa turudi kwenye swala la msingi, ambalo bado hujanipa jibu, Kama mtu ana IQ kubwa afu hajatoka kimaisha na anaongozwa na mwenye IQ ndogo, niambie hiyo IQ yake imemsaidia nini?