Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Tatizo la watu wenye akili finyu huwa wanalaum tu, yaani umesahau kabisa kua kuna mambo ya kisaikolojia yanayoweza kua yamesababisha haya kutokea
Wengine wanasema ni Saidi Bagaile effect, hatujui tushike lipi, yote kwa yote watajuana wenyewe.
 
Mind you huyo jamaa ana masters ya finance,ni kitete tu,magu angemsanehe tu
 
Uchawii upo jamani si bure msomi wetu kushindwa kusoma. Nimemuonea huruma huyu Baba, hatakaa asahau hii siku ya leo[emoji24]
Kwani anatokea chuo gani?au ni pale jalalani?
 
Sasa jomba hi inatuhusu Nini sisi..hatujui JPM alimtoa wapi hatujui alikuwa wapi kabla na wala hatujui ana elimu gani..kwa maana hiyo Wala hatuwezi jadili hi kitu..mambo ya Ndani fullstop
Mshaaibika tayari huko. Daah ccm! Mnafanya mambo kwa mazoea
 
Nakaa kimya, maana vilaza wenye iq -1 ndio wanasmarphone na wamejazana Jf kusumbua watu.

Kama kuwa na smartphone na kuwa JF ndo quality za low IQ basi wote, wewe na mimi tuna IQ ndogo maana tunazo hizo qualities zote.

Sasa turudi kwenye swala la msingi, ambalo bado hujanipa jibu, Kama mtu ana IQ kubwa afu hajatoka kimaisha na anaongozwa na mwenye IQ ndogo, niambie hiyo IQ yake imemsaidia nini?
 
Kwani wapiga kura wake wenyewe wanasemaje?🤣🤣🤣🤣🤣
 
PM ndo aliependekeza, tena mkuu akikataa ila akashinikizA then akapita
 
Mods ondoa hii maneno. Haina tija Happ kwetu sisi. Sasa Kama mwenyewe kashindwa kusoma kiapo.. sisi inatuhusu Nini...Ni sawa na wewe umeenda kufanya mtihani then ukafeli. Sasa tutajadili vipi jinsi ulivyofeli..haiwezekani.
Alisahau miwani yake
 
Kamuulize mama yako.
 
Aibu sana hii ccm
 
Tatizo la watu wenye akili finyu huwa wanalaum tu, yaani umesahau kabisa kua kuna mambo ya kisaikolojia yanayoweza kua yamesababisha haya kutokea
Wacha ujinga wako hapa,huyo atakuwa ni kihiyo tu
 
Mama yako bado hajakufahamisha iq ni kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…