HahahaaaaaaKuna mtu hajapenda kuchaguliwa kwake siyo bure!!!
Wabongo mnalamaana Basi???
Wote utopolo fcHapana boss
Hilo la kutokujua kusoma liondoe .. huyu jamaa alikuwa DED kilombero, sasa aliwezaje kufanya shughuli zake za ukurugenzi bila kujua kusoma??!Kila kitu ni uchawi kwenu hata mambo madogo tu.
Vp kama alikua overwhelmed?
Vp kama kweli hajui kusoma? Umewahi kumuona akisoma kabla?
Miafrika kila kitu ni uchawi kwao. Smd
Mkuu amesema alieteua na alieshindwa kuapa wote wameumbuka!
Ameshindwa kusoma si kwa sababu hajuiNasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.
Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!
Hawa watu mbona kama wamemtia doa mkuu wa nchi, maana sijawahi kushuhudia mtu akitumbuliwa kwa kushindwa kusoma kiapo na kutamka!
Hii inaleta picha gani? Kuwa kama ni kweli kwamba watu wanaomfanyia vetting mkuu wa nchi hawako makini mpaka wanampa majina ya watu ambao wanashindwa kuapa!
Au ni mambo ya kijamii yameitawala Tanzania,ndio maana watu wengi wenye IQ kubwa huwezi kuwakuta kuwa ni viongozi?
Inasikitisha sana kwa Taifa ambalo linajinasibu kuwa ni moja ya taifa kubwa hapa Afrika mashariki, waziri mdogo anashindwa hata kusoma na kula kiapo. Nafikiri maneno aliyosema Askofu Rashid kuwa wengi wa wabunge wa CCM walipita kwa mgongo wa kiongozi wao wa chama,sababu 70% walikuwa hawana uwezo na hata kukubalika ilikuwa ni kwa mashaka
Kwa ujumla aliyeshindwa kuapa na aliyemtumbua wote wameaibika.
Aliyefanya uteuzi na kutengua amezingatia hilo suala la saikolojia?! Ikiwa ametilia shaka uwezo wake wa kusoma, tena akielezea shaka hiyo hadharani, ni nani basi anastahiki kuhojiwa weledi wake kwa kuteua mtu ambae ni doubtful kwenye uwezo wake wa kusoma?Tatizo la watu wenye akili finyu huwa wanalaum tu, yaani umesahau kabisa kua kuna mambo ya kisaikolojia yanayoweza kua yamesababisha haya kutokea
Nasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.
Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!
Hawa watu mbona kama wamemtia doa mkuu wa nchi, maana sijawahi kushuhudia mtu akitumbuliwa kwa kushindwa kusoma kiapo na kutamka!
Hii inaleta picha gani? Kuwa kama ni kweli kwamba watu wanaomfanyia vetting mkuu wa nchi hawako makini mpaka wanampa majina ya watu ambao wanashindwa kuapa!
Au ni mambo ya kijamii yameitawala Tanzania,ndio maana watu wengi wenye IQ kubwa huwezi kuwakuta kuwa ni viongozi?
Inasikitisha sana kwa Taifa ambalo linajinasibu kuwa ni moja ya taifa kubwa hapa Afrika mashariki, waziri mdogo anashindwa hata kusoma na kula kiapo. Nafikiri maneno aliyosema Askofu Rashid kuwa wengi wa wabunge wa CCM walipita kwa mgongo wa kiongozi wao wa chama,sababu 70% walikuwa hawana uwezo na hata kukubalika ilikuwa ni kwa mashaka
Kwa ujumla aliyeshindwa kuapa na aliyemtumbua wote wameaibika.
Hilo la kutokujua kusoma liondoe .. huyu jamaa alikuwa DED kilombero, sasa aliwezaje kufanya shughuli zake za ukurugenzi bila kujua kusoma??!
Hapo kuna mambo Mawili ni Memkwa au kuna M kono wa kiumbeNasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.
Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!..
Umelazimishwa kuchangia bro?Tumefikia wakati wa kujadili mambo ambayo sio muhimu. Inawezekana anasoma vizuri kuliko hata huyo Raisi inawezekana ka punic, au maneno yalikuwa madogo. Mara nyingi kabla ya kuapishwa unatakiwa usome mwenyewe lakini wengine wana puuzia!