Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Saa nyingine lack of confidence ina uhusiano na poor mental health. Kwa hiyo mtu wanamna hii sio vizuri kumnanga mbele za watu. Nani vizuri kutoa sababu nyingine ya kumbadilisha.

Kama wewe sio mtu wa kuongea kwenye public halafu mtu anakupa kazi ya kuongea hadharani. Just do yourself a favour and say no for the sake of your mental health!!
Lakini huyu anaweza kushinda kwa waganga akiamini kuna mkono wa mtu!!
 
Kipapai...kura za maoni.
.CCM mtamalizana wenyewe kwa wenyewe!!
 
Kila kitu ni uchawi kwenu hata mambo madogo tu.

Vp kama alikua overwhelmed?

Vp kama kweli hajui kusoma? Umewahi kumuona akisoma kabla?

Miafrika kila kitu ni uchawi kwao. Smd
Hilo la kutokujua kusoma liondoe .. huyu jamaa alikuwa DED kilombero, sasa aliwezaje kufanya shughuli zake za ukurugenzi bila kujua kusoma??!
 
Huyu mwamba mke wake asipomnanga atakuwa na bahati.

Utasikia

"Mwanaume mzima unashindwa kusoma?? Mungu amekubariki we unaleta uduanzi halafu unajiona mwanaume!!! Wanaume wenzio wanaenda kula mshahara wa uwaziri wewe unambwaya mbwaya tu. Jitu zima ovyoooo"
 
mimi nadhani nitakuwa wa mwisho kuamini kwmba ni kweli msomi wa Shahada ya Uzamili ambae amefanya tafiki na kuzitetea mbele ya wasomi wabobevu (ma-Profesa) Ashindwe kusoma kiapo tena kilichoandikwa kwa kiswahili Kwa font kubwa kabisa, HAPANA lazime tukubali kuna sababu nyingine nyuma ya haya yote, kikubwa tumuombee ndugu yetu huyu na wataalam wa saikolojia wawe karibu nae katika kipindi hiki kigumu.
 
Nasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.

Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!

Hawa watu mbona kama wamemtia doa mkuu wa nchi, maana sijawahi kushuhudia mtu akitumbuliwa kwa kushindwa kusoma kiapo na kutamka!

Hii inaleta picha gani? Kuwa kama ni kweli kwamba watu wanaomfanyia vetting mkuu wa nchi hawako makini mpaka wanampa majina ya watu ambao wanashindwa kuapa!

Au ni mambo ya kijamii yameitawala Tanzania,ndio maana watu wengi wenye IQ kubwa huwezi kuwakuta kuwa ni viongozi?

Inasikitisha sana kwa Taifa ambalo linajinasibu kuwa ni moja ya taifa kubwa hapa Afrika mashariki, waziri mdogo anashindwa hata kusoma na kula kiapo. Nafikiri maneno aliyosema Askofu Rashid kuwa wengi wa wabunge wa CCM walipita kwa mgongo wa kiongozi wao wa chama,sababu 70% walikuwa hawana uwezo na hata kukubalika ilikuwa ni kwa mashaka

Kwa ujumla aliyeshindwa kuapa na aliyemtumbua wote wameaibika.
Ameshindwa kusoma si kwa sababu hajui
Kumbuka huyu alikuwa mkurugenzi wa wilaya (DED)
 
Kashindwa kusoma kiapo utasikia
"KAROGWA TWENDE KWA MGANGA"

In Roma mkatoloki's voice
 
mimi nazani anajua kusoma vizuri maana bungeni aliapa vizuri tu, itakua nitatizo la saikojia
 
Kama naona kamechezeka kamchezo fulani hivi.. Namuona kabisa Deo Mwanyika apo kitengoni!!! Ni hisia tu..
 
Tatizo la watu wenye akili finyu huwa wanalaum tu, yaani umesahau kabisa kua kuna mambo ya kisaikolojia yanayoweza kua yamesababisha haya kutokea
Aliyefanya uteuzi na kutengua amezingatia hilo suala la saikolojia?! Ikiwa ametilia shaka uwezo wake wa kusoma, tena akielezea shaka hiyo hadharani, ni nani basi anastahiki kuhojiwa weledi wake kwa kuteua mtu ambae ni doubtful kwenye uwezo wake wa kusoma?

Tatizo la Jiwe ni mihemuko! Mtu ametumikia hadi nafasi ya u-DED wakati wa utawala wake mwenyewe halafu leo ahoji hadharani uwezo wake wa kusoma kiasi cha kutaka eti elimu yake ichunguzwe!!!
 
Nasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.

Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!

Hawa watu mbona kama wamemtia doa mkuu wa nchi, maana sijawahi kushuhudia mtu akitumbuliwa kwa kushindwa kusoma kiapo na kutamka!

Hii inaleta picha gani? Kuwa kama ni kweli kwamba watu wanaomfanyia vetting mkuu wa nchi hawako makini mpaka wanampa majina ya watu ambao wanashindwa kuapa!

Au ni mambo ya kijamii yameitawala Tanzania,ndio maana watu wengi wenye IQ kubwa huwezi kuwakuta kuwa ni viongozi?

Inasikitisha sana kwa Taifa ambalo linajinasibu kuwa ni moja ya taifa kubwa hapa Afrika mashariki, waziri mdogo anashindwa hata kusoma na kula kiapo. Nafikiri maneno aliyosema Askofu Rashid kuwa wengi wa wabunge wa CCM walipita kwa mgongo wa kiongozi wao wa chama,sababu 70% walikuwa hawana uwezo na hata kukubalika ilikuwa ni kwa mashaka

Kwa ujumla aliyeshindwa kuapa na aliyemtumbua wote wameaibika.

Tumefikia wakati wa kujadili mambo ambayo sio muhimu. Inawezekana anasoma vizuri kuliko hata huyo Raisi inawezekana ka punic, au maneno yalikuwa madogo. Mara nyingi kabla ya kuapishwa unatakiwa usome mwenyewe lakini wengine wana puuzia!
 
Hilo la kutokujua kusoma liondoe .. huyu jamaa alikuwa DED kilombero, sasa aliwezaje kufanya shughuli zake za ukurugenzi bila kujua kusoma??!

Kawahi kuwa muhasibu pia Tanroads. So anajua kusoma kwa hakika.

Nilichokua napinga ni kukimbilia kusema uchawi pasi kuangalia sababu zingine zinazoweza pelekea kutokea kwa hiyo hali.

Story za uchawi huwa zinaaminiwa sana na wavivu wa kufikiri na kusambazwa na wajinga.
 
Nasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.

Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!..
Hapo kuna mambo Mawili ni Memkwa au kuna M kono wa kiumbe
 
Tumefikia wakati wa kujadili mambo ambayo sio muhimu. Inawezekana anasoma vizuri kuliko hata huyo Raisi inawezekana ka punic, au maneno yalikuwa madogo. Mara nyingi kabla ya kuapishwa unatakiwa usome mwenyewe lakini wengine wana puuzia!
Umelazimishwa kuchangia bro?
 
Hahaha vetting wanafanyiana uvcc hizo, wana hasira kuona Halima Mdee na wenzake wanalazimishwa kuwa wabunge na wanalindwa zaidi ya rais na Mwenyekiti wa ccm.
 
Back
Top Bottom