Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Mazingira uliyoyataja hayashabian,na mazingira ya leo , kaangalia auto nyeusi kibao,anakaziwa macho Kama amechukua Cha mtu,kule cdf, Mara iGp , na wengine kibao mabega yamechafuka, na hua anawasikia leo live, kusogea mbele jpm anamwangalia using,hata hapeleki macho pembeni, mbaya zaidi pale alipoambiwa kuludia, ndo wamempandisha mzuka,hakuna uchawi, nimeisha kutana nao Sana Kama Hawa,
Mtu anawambia Yani KWA mwanamke napiga story Sana ila nikifika mbele ya watu kigugumizi zaidi ya bubu, ila tu kwa waliochini yake story sana
 
Hana tofauti na yule aliyekuw waziri aliyesema akiwa nchini Afrika Kusini kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe, hata hivyo amerudi tena bungeni!
 
Hata mimi nimeumia
Wangempa muda[emoji29]
Yeye alikuwa anaenda kupewa ajira ya pili..wewe una ajira kwanza?
Kama unayo Ajira yako inafikia ajira yake ya kwanza?


Sawa najua aliyenacho huongezewa lakini ni ajabu ukikuta masikini kusikitika MO kupata Hasara ya million5 wakati ana mabillioni benki
 
Kwahiyo kama huna ajira au una ajira ambayo haifikii ajira yake ni marufuku kusikitika??
Kama wewe hujaumia basi ni wewe,usitake kila mmoja awe hivyo.
Acha shobo mkuu[emoji57]
 
Hivi viapo huwa hawapewi kabla? Ili wafanye "liheso"! Sijaona kama kimnyang'anya nafasi yake ilikuwa uamuzi bora bila kwanza kujua sababu. Siamini kama alishindwa "kusoma" kiapo kwa sababu hajui kusoma.
 
Huenda alikuwa tayari ashapata deal kadhaa za 10% hvyo alkuwa na hamu Sana apate kiapo Mambo yaanze kutiririka saa zingine na mipombe pia huchangia.

Sihukumu Bali nawaza tuu
 
Kwenye nafasi kama hizi Rais hata kiwi kuteua bila kukutana na kuongeza na huyo mteule. Hilo ni kosa kubwa. Rais anatakiwa kuteua watu wenye uwezo Siyo kwa aili ya CV zao.

Hata hivyo CV ya huyo bwana hako vizuri kihivyo. Inaonyesha ni jinsi gani ambayo bado hatuko serious kama taifa. Huyo Jamaa hastahili hata kuwepo hapo alipo sasa.
 
Nigekuwa ni mimi ningeapa ile ya kitaa, napitisha kidole shingoni nasema "hakyamungu" au huko sio kuapa?
 
Huna hoja. Katika walipitwa kuapa 23, alikuwa anaangaliwa yeye pekee yake? Kuna watu reasoning zenu zinatia mashaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina haja ya kumjua mtu aliyeshindwa kusema "hakyamungu"
 
Kuwa na mambo yote sio sababu , amini nakwambia wapo wengi sana ndani ya serikali wenye hali kama yake.

Nilikwenda wilaya ya mvomero nimekutana na mhasibu ambaye nilisomanae lkni hakufaluu na yupo pale wilayani bro nchi ni connection tu
 
Ni kihiyo tu huyo hakuna cha kumtetea kihiyo
 
Mimi siamini kama hajui kusoma vizuri.
Dunia ina mengi,tumuombe Mungu atuongoze.

Kama nafasi ni yake naamini ataipata tu,hiyo roho ya kukataliwa iliyomvaa iishie mbali.

Btw nimeumia Sana kwa ajili yake.
Muombee wewe tu itatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…