Umeanza pumba zako za kipuuzi.Kule kwao ndipo moshi wa Ruangwa ulimzimisha magufuli siku 3 hoi kuna watu hawakulizika na uteuzi wake kule jimboni kwake wanandai pesa zao za kufanikisha uchakachuaji hajawalipa
Ccm wanahusudu sana ushirikinaArudi kuomba msamaha wale wana vijiji aliowadhulumu haki zao kwenye sanduku la kura kwanza kabla ya yote
Kwa iyo unataka kutuaminisha uchawi, hujua kua Kuna ugonjwa wa kuwa muoga, elewa wapo watu kufanya presentation lazima KWANZA anywe dawa na trigers za tatizo Kama hili zipo nyingi na mazingila tofauti,Huna hoja. Katika walipitwa kuapa 23, alikuwa anaangaliwa yeye pekee yake? Kuna watu reasoning zenu zinatia mashaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi sana mkuuUsifikirie tu ndumba. Dhuluma pia huleta laana. Wabunge hawa wa mwaka huu, wengi wao wamepatikana kwa kudhulumu haki za wengine. Dhuluma ilianzia kwenye chaguzi za ndani mpaka uchaguzi mkuu wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhuluma ni mbaya sanaIla huruma Aisee mtu mzima kushindwa kutamka maneno uliyozoea kuongea kila leo..!!dah
Bwege anatisha sanaBwege kamfanya mtu kuwa bwege
Mimi naww nan anayemshobokea bossi mapesa?[emoji52]Kwahiyo kama huna ajira au una ajira ambayo haifikii ajira yake ni marufuku kusikitika??
Kama wewe hujaumia basi ni wewe,usitake kila mmoja awe hivyo.
Acha shobo mkuu[emoji57]
Wewe hapo umeshobokea comment yangu.
Mimi apate kazi asipate hainihusu ila wewe unaesikitika kukosa itakuwa uliahidiwa kituWewe hapo umeshobokea comment yangu.
Vipi nawe wataka kumshobokea boss pesa ukadange?
Kumbe haikuhusu!Mimi apate kazi asipate hainihusu ila wewe unaesikitika kukosa itakuwa uliahidiwa kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi umeshindaKumbe haikuhusu!
Mimi kuumia kwa ajili yake wewe inakuuma nini??
Acha ushamba
Kumbe upo Kwenye mashindano??Basi umeshinda
Hili zengwe, kapigwa kipapai, hukuona yule mgombea udiwani wa posta alikiwa anashindwa kutamka maneno yake, mapka akasema hii uchawi.Kiapo cha ubunge si aliapa jamani vizuri au ilikuaje? Ila kama ndio tatizo lake basi tutaendelea kuliona bungeni.
Akome,hawa watu Wa kijani hata sio Wa kuonea huruma.Ila huruma Aisee mtu mzima kushindwa kutamka maneno uliyozoea kuongea kila leo..!!dah