kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Usiongee vitu kiushabiki jamaa ni msomi mzuri tu na ana Master ya Accounting & Finance kutoka Mzumbe University. Alikuwa mkurugenzi Ifakara.Haya ndo madhara ya kutokuwepo mchujo wa kupata wabunge,watu wamepita bila kupingwa hawajapitishwa hata kwenye moto ilitupate watu pure for public tasks.
Unaelewa nguvu za giza zifanyavyo kazi?Unajuaje ni nguvu za giza na si mtu ana matatizo ya macho anahitaji miwani tu?
Mbona Magufuli kamchukulia huyu jamaa kama hajui kusomaHakuna aliyeumbuka. Kwani wewe hukosei? Mbona akina Mathawe wanaongea kwa kithethe au akina Mura wanaoweka ra kwenye kila la bila kusahau akina Rwadai wanaosifika kwa kuweka la kwenye ra...
Huyo msamalia alimsaidia majeruhi asiyejiweza lakini hakukuta mtesi wake(Mrumi) anayejiweza amepoteza fimbo za kuwachapia watumwa akaanza kumsaidia kutafuta....wakati yeye mwenyewe ni mtumwa.Upendo una nguvu ambazo chuki haikupi.
Mfano kwa kuwachukia hao wala keki yako kumebadilika nini mpaka leo..
Labda viongozi wa dini hawaelewi kwa nini huwa wanaalikwa kwenye shughuli muhimu za serikali.
Ngoja niwakumbushe;
Nyie viongozi wa dini uwepo wenu unamaanisha utakaso wa kiroho na mwili katika eneo husika na kwamba shetani hatapata nafasi ya kumdhuru yoyote.
Inapotokea nguvu za shetani zikapenya na kutia dosari shughuli husika maana yake viongozi wa kiroho mliokuwepo imani zenu ni haba kiasi cha kumruhusu shetani kufanya atakavyo.
Nimeshangaa leo Naibu waziri " anapagawa" kwenye kula kiapo viongozi wa dini yangu ya Kristo Yesu badala ya kukemea wao wakawa wanacheka.
Next time watu wa itifaki mnapoalika viongozi wa dini basi leteni walawi kweli siyo hawa wenye harufu ya siasa.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Maendeleo hayana vyama!
Wa chadema awaungi juhudiHao nao hawana wakovu ni wanasiasa was Chadema.
Ukiona hivyo jua umedhulumu haki isiyo yakoUnaelewa nguvu za giza zifanyavyo kazi?
Wewe unaweza kuona ni tatizo la macho limempata ghafla ila huyo ndio ibilisi mwenyewe!
Miungu ya gamboshi na ruangwa imecollideKulikuwa na miungu wawili pale...
Lindi kuchelee Hadi Bwana yule tambo zake mwisho darajaniHuyu siyo wa kwanza kutoka Lindi anafanyiwa ndumba za namna hii.
Yupo dada mwingine aliukosa ubunge wa viti maalumu hivi hivi kwa kukabwa koromeo wakati anajieleza!
Itabidi watumishi wa kweli wa Mungu waitembelee Lindi!Lindi kuchelee Hadi Bwana yule tambo zake mwisho darajani
Kilichotokea hapa ni psychological event inaitwa PANIC ATTACK or NERVOUS BREAKDOWN inasababishwa na shock ya uoga ambayo unapanda mpaka unasababisha brain shutdown. In his case huyu waziri, uoga wake ulisababishwa na occasion ya kuwa mbele ya raisi na stress ya anticipation of impending responsibility ya kazi aliyopewa ya uwaziri. Hii ni good thing because he takes seriously of what is coming ahead of him and I hope hawatomwukumu kwa hii episode yake hapa. it’s not his fault. Dawa ya vitu km hivi ni rehearsal. Huyu waziri ilitakiwa a practice hili zoezi at least 2-3 days prior to this event. USA chief justice, John Robert km mnakumbuka ali botch Obama presidential inauguration oath in 2008 in Obama first term. Ikabidi warudie tena kumpa Obama oath in white house 4 days later. Na chief Robert sio mtu wa ku panic, kabla hajawa chief justice alikuwa solicitor general wa US government. Alisha argues more than 42 cases before the supreme court na hundred of cases in the court of appeal. Na pia , alishawahi kuwa confirmed 4 times na congress kama solicitor general , judge , appellate judge , associate justice and chief justice. Na bado alipata panic attack kwenye kiapo cha kwanza cha Obama.Labda viongozi wa dini hawaelewi kwa nini huwa wanaalikwa kwenye shughuli muhimu za serikali.
Ngoja niwakumbushe;
Nyie viongozi wa dini uwepo wenu unamaanisha utakaso wa kiroho na mwili katika eneo husika na kwamba shetani hatapata nafasi ya kumdhuru yoyote.
Inapotokea nguvu za shetani zikapenya na kutia dosari shughuli husika maana yake viongozi wa kiroho mliokuwepo imani zenu ni haba kiasi cha kumruhusu shetani kufanya atakavyo.
Nimeshangaa leo Naibu waziri " anapagawa" kwenye kula kiapo viongozi wa dini yangu ya Kristo Yesu badala ya kukemea wao wakawa wanacheka.
Next time watu wa itifaki mnapoalika viongozi wa dini basi leteni walawi kweli siyo hawa wenye harufu ya siasa.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Maendeleo hayana vyama!
Labda viongozi wa dini hawaelewi kwa nini huwa wanaalikwa kwenye shughuli muhimu za serikali.
Ngoja niwakumbushe;
Nyie viongozi wa dini uwepo wenu unamaanisha utakaso wa kiroho na mwili katika eneo husika na kwamba shetani hatapata nafasi ya kumdhuru yoyote.
Inapotokea nguvu za shetani zikapenya na kutia dosari shughuli husika maana yake viongozi wa kiroho mliokuwepo imani zenu ni haba kiasi cha kumruhusu shetani kufanya atakavyo.
Nimeshangaa leo Naibu waziri " anapagawa" kwenye kula kiapo viongozi wa dini yangu ya Kristo Yesu badala ya kukemea wao wakawa wanacheka.
Next time watu wa itifaki mnapoalika viongozi wa dini basi leteni walawi kweli siyo hawa wenye harufu ya siasa.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Maendeleo hayana vyama!
Ndo waziri wa kodi na maendeleo ya masela,?Et inasemekana hajui vizuri kusoma
Hivi kuwa Ded au Dc ndio kusema uwezo wako uko vizuri kupambanua mambo?
Kwa nini Sasa hakuona hayo mambo ya kisaikolojia? Tuna Rais waajab.Tatizo la watu wenye akili finyu huwa wanalaum tu, yaani umesahau kabisa kua kuna mambo ya kisaikolojia yanayoweza kua yamesababisha haya kutokea
Nguvu za giza ni nini?Unaelewa nguvu za giza zifanyavyo kazi?
Wewe unaweza kuona ni tatizo la macho limempata ghafla ila huyo ndio ibilisi mwenyewe!