Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Haya ndo madhara ya kutokuwepo mchujo wa kupata wabunge,watu wamepita bila kupingwa hawajapitishwa hata kwenye moto ilitupate watu pure for public tasks.
Usiongee vitu kiushabiki jamaa ni msomi mzuri tu na ana Master ya Accounting & Finance kutoka Mzumbe University. Alikuwa mkurugenzi Ifakara.

Labda kapigwa kipapai tu.
 
Unajuaje ni nguvu za giza na si mtu ana matatizo ya macho anahitaji miwani tu?
Unaelewa nguvu za giza zifanyavyo kazi?

Wewe unaweza kuona ni tatizo la macho limempata ghafla ila huyo ndio ibilisi mwenyewe!
 
Upendo una nguvu ambazo chuki haikupi.
Mfano kwa kuwachukia hao wala keki yako kumebadilika nini mpaka leo..
Huyo msamalia alimsaidia majeruhi asiyejiweza lakini hakukuta mtesi wake(Mrumi) anayejiweza amepoteza fimbo za kuwachapia watumwa akaanza kumsaidia kutafuta....wakati yeye mwenyewe ni mtumwa.

Genesis 34: Dinah,Dada yao kina Levi,Juda.. watoto wa Yakobo alibakwa na mfalme wa Shekem..kina Levi walikasirika sana lakini mfalme akawafata akawaomba msamaha tena akawaomba amuoe dada yao..Walifanya nini?Walikubali wakampa sharti atahiri kila mtu wa eneo lake alipokubali wakavamia mji mzima wakaua kila mwanaume.

Sasa huyo mwanamke Dina ni Tanzania,Mfalme wa Shekem na wananchi wake ni utawala wa Ccm.

Sasa Mimi na wewe ni Levi na Judah...na Dina wetu amebakwa Tena ubaya hata mfalme wa Shekem na wananchi wake hawatuombi msamaha wala kuonesha dalili za kutusaidia Je tunafanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa nn???hao.waliogeuka kusifu na kuabudu????
Labda viongozi wa dini hawaelewi kwa nini huwa wanaalikwa kwenye shughuli muhimu za serikali.

Ngoja niwakumbushe;

Nyie viongozi wa dini uwepo wenu unamaanisha utakaso wa kiroho na mwili katika eneo husika na kwamba shetani hatapata nafasi ya kumdhuru yoyote.
Inapotokea nguvu za shetani zikapenya na kutia dosari shughuli husika maana yake viongozi wa kiroho mliokuwepo imani zenu ni haba kiasi cha kumruhusu shetani kufanya atakavyo.

Nimeshangaa leo Naibu waziri " anapagawa" kwenye kula kiapo viongozi wa dini yangu ya Kristo Yesu badala ya kukemea wao wakawa wanacheka.

Next time watu wa itifaki mnapoalika viongozi wa dini basi leteni walawi kweli siyo hawa wenye harufu ya siasa.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kilichotokea hapa ni psychological event inaitwa PANIC ATTACK or NERVOUS BREAKDOWN inasababishwa na shock ya uoga ambayo unapanda mpaka unasababisha brain shutdown. In his case huyu waziri, uoga wake ulisababishwa na occasion ya kuwa mbele ya raisi na stress ya anticipation of impending responsibility ya kazi aliyopewa ya uwaziri. Hii ni good thing because he takes seriously of what is coming ahead of him and I hope hawatomwukumu kwa hii episode yake hapa. it’s not his fault. Dawa ya vitu km hivi ni rehearsal. Huyu waziri ilitakiwa a practice hili zoezi at least 2-3 days prior to this event. USA chief justice, John Robert km mnakumbuka ali botch Obama presidential inauguration oath in 2008 in Obama first term. Ikabidi warudie tena kumpa Obama oath in white house 4 days later. Na chief Robert sio mtu wa ku panic, kabla hajawa chief justice alikuwa solicitor general wa US government. Alisha argues more than 42 cases before the supreme court na hundred of cases in the court of appeal. Na pia , alishawahi kuwa confirmed 4 times na congress kama solicitor general , judge , appellate judge , associate justice and chief justice. Na bado alipata panic attack kwenye kiapo cha kwanza cha Obama.
 
Labda viongozi wa dini hawaelewi kwa nini huwa wanaalikwa kwenye shughuli muhimu za serikali.

Ngoja niwakumbushe;

Nyie viongozi wa dini uwepo wenu unamaanisha utakaso wa kiroho na mwili katika eneo husika na kwamba shetani hatapata nafasi ya kumdhuru yoyote.
Inapotokea nguvu za shetani zikapenya na kutia dosari shughuli husika maana yake viongozi wa kiroho mliokuwepo imani zenu ni haba kiasi cha kumruhusu shetani kufanya atakavyo.

Nimeshangaa leo Naibu waziri " anapagawa" kwenye kula kiapo viongozi wa dini yangu ya Kristo Yesu badala ya kukemea wao wakawa wanacheka.

Next time watu wa itifaki mnapoalika viongozi wa dini basi leteni walawi kweli siyo hawa wenye harufu ya siasa.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.

Maendeleo hayana vyama!

There are people fully committed to work with the devil. They have made a pact with him, in order to become successful.
Nobody can help in that situation. Unfortunately wengi wetu, mchana ni wafuata dino, usiku ni wanga wa kufa mtu
 
Hivi kuwa Ded au Dc ndio kusema uwezo wako uko vizuri kupambanua mambo?

Definitely no mkuu.

Tumeambiwa ma- dc ni vyeo vya kisiasa na sifa zao ni kuweza kusoma na kuandika.

Of lately ma- ded nao wamekuwa wakiteuliwa kwa sifa za kisiasa zaidi kuliko taaluma.

Uwezo wao nadhani anaujua zaidi mteuzi kuliko wananchi anaowatumikia.

Hii ni moja ya kasoro kubwa kwenye mfumo wetu wa uongozi. Kwa maoni yangu, nafasi za utumishi wa umma kama hizi hazikupaswa kutegemea utashi wa mtu mmoja na taasisi yake bali kura za wananchi wa pale anakotumika.

Mafanikio yake katika nafasi za chini ndiyo yangeamua kupanda kwake kwenye nafasi za juu tofauti na sasa ambapo amebebwa na siasa na kuangushwa na siasa pia kwani hivi viapo ni hitaji la kisiasa na havina uhusiano wowote na uwezo wake wa kutimiza majukumu yake ya utumishi.
 
Unaelewa nguvu za giza zifanyavyo kazi?

Wewe unaweza kuona ni tatizo la macho limempata ghafla ila huyo ndio ibilisi mwenyewe!
Nguvu za giza ni nini?

Unaweza kuzi define na kuthibitisha zipo kweli na habari za kuwepo kwake si hadithi za danganya toto tu?
 
Back
Top Bottom