Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Zaidi ya 50% ya wabunge wa ccm hawakushinda uchaguzi, bali walitangazwa tu washindi.
Mkuu bado tu unaongelea uchaguzi, achilia maisha ya endelee utapata ugonjwa wa kideri kwa mawazo
 
Naibu waziri aliyeshindwa kuapa ameambiwa nafasi yake atachaguliwa mtu mwingine na yy atabaki kuwa mbunge tu.
Wekeni picha jamani tuwaone hawa wabunge mataga wa ccm ambao tumeambiwa wanenda kuipaisha tanzania, tatizo sio lake huyo aliyeshindwa kuapa bali tatizo ni aliyemteua.
 
Nchi hii inaendeshwa kihuni sana na watu wengi wa namna hii ni vile tu huyu baharia mwenzetu kateleza eneo. Aibu sana.
Ukute mtu kama huyu kapenya hadi kuwa mkurugenzi wa shirika halafu umkosoe utaona shughuli yake
 
Watu huwa wanamshangaa jiwe akiogopa kwenda ulaya, ni kwamba anajua fika akiongea na wazungu atachemsha.
Hata maraisi wengine wa nchi nyingine wapo hawajui kiingeeeza bali lugha zao, wanaenda na wakalimani.
 
Kuna mtu ana PHD lakini alishindwa kutamka "Entrepreneurship"akaishia kusingizia eti si lazima msomi kujua Kiingereza. Sa mbona huyu kashindwa kuapa kutokana na wasiwasi anafukuzwa? Uonevu tu![emoji15][emoji15][emoji15]
Kuapa tuu wasiwasi c ndio atauza nchi kwa woga msomi lazima ajiamin bhana!
 
Jambo dogo lakini limeanzishiwa nyuzi kibao! Hii inaasiria kuwa watu wengi (nchini) wana misongo ya mawazo, kikitokea kitu kidogo tu wanapata fursa ya kutapika
Sio Jambo dogo kama unavyodhani,ukitaka kuamni soma vichwa vya habari magazetini kesho.
Mtu anayeaminiwa kupewa unaibu waziri hawezi Kusoma sentensi 5 sio jambo dogo.
 
Habari wakuu

Leo nimeona kituko ambacho sio cha nchi hii ,hadi mimi niliekuwa naangalia nimeona aibu

How comes,mtu unashindwa kuaapa tena kwa kiswahili ,mbaya zaidi mtu kasoma ana master's ya science

Hadi mheshimiwa raisi kasema hio degree yake ichunguzwe, huenda hata hivyo vyeti ni fake

TAMISEMI angalien mfano wa mh raisi, mnamwaibisha sana, yale majina hewa ya walimu mliyoyatoa nasema hivi ipo siku tu mtakula matapishi yenu.

Ninaiman kabisa tamisemi mkiambiwa mkalete Wale watu mlioajiri na vyeti vyao orginal kuanzia secondary mpaka chuo kikuu, hawana Wale watu

Mh raisi pita tamisemi, narudia tena pita tamisemi kuna wahuni ambao hawajitambui wanaendesha hio taasisi, mpaka watanzania wanaichukia nchi yao.

Uzi tayar
Watu wanapo sema jamaa huteua watu kwa majina nila kumchunguza sasa muamini.
Hivi Rais ana kuteu kushika nafasi ya juu halafu hujui hata una elimu gani?
Kipindi hiki cha Meko mtaona mengi.
Ati achunguzwe!! Kweli???
Hizi ni aibu za ikulu sio za Tanzania.
 
Najaribu kuvaa viatu vyake vinanipwaya, sote ni binadamu hatujui kipi kitatukuta dakika moja mbele. Ila kitendo cha kutetemeka na kushindwa kula kiapo ni suala ambalo halikutakiwa kuchukuliwa haraka mpaka kumtumbua mhusika. Naona kabisa kama vile kuna Mtu amekurupuka.

#We're the world.
Saidi Bagaile effect hiyo,chezea kipapai wewe!
 
Hiyo wanaiita kupokonywa tonge mdomoni, sema huyo wazir bado sijamaliza kumuwaza
 
Back
Top Bottom