Habari wakuu
Leo nimeona kituko ambacho sio cha nchi hii ,hadi mimi niliekuwa naangalia nimeona aibu
How comes,mtu unashindwa kuaapa tena kwa kiswahili ,mbaya zaidi mtu kasoma ana master's ya science
Hadi mheshimiwa raisi kasema hio degree yake ichunguzwe, huenda hata hivyo vyeti ni fake
TAMISEMI angalien mfano wa mh raisi, mnamwaibisha sana, yale majina hewa ya walimu mliyoyatoa nasema hivi ipo siku tu mtakula matapishi yenu.
Ninaiman kabisa tamisemi mkiambiwa mkalete Wale watu mlioajiri na vyeti vyao orginal kuanzia secondary mpaka chuo kikuu, hawana Wale watu
Mh raisi pita tamisemi, narudia tena pita tamisemi kuna wahuni ambao hawajitambui wanaendesha hio taasisi, mpaka watanzania wanaichukia nchi yao.
Uzi tayar