Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Ubunge wa kuteuliwa yule.
Kama ni wa kuteuliwa sawa ila hata hao waliomteua ilitakiwa wawe na file lake ,wajue historia yake vizuri kama ni mzuri katika public speaking,vyeo kama hivyo vinataka mtu "MPAYUKAJI" mtu mwenye "TANTALILA NYINGI" kama walijua ni muoga muoga na wakemtua basi ni HATARI ipo siku watakuja kumteua KONKI PIERE LIKWIDI.
 
Huyo atakuwa alipatwa na WENGE au Alipagawa au Aliashikwa na KITETE kikamuondolea confidence!! Swala la kutoona ni uongo mtupu! Maana maneno ni yale yale hata usiposoma utayakariri "MImi Francis NGUMALU naapa kwamba nitakuwa mtiifu kwa jamhuri ya muungano wa tanzania na sitotoa siri za baraza la mawaziri ehee mwwnyezi mungu nisaidie" hapo inahitaji kusoma kweli???
Alikua anasema baraza la mapinduzi..according to wadau.so alikua anachapia,kila akirudia anachapia.
 
Nidhamu ya woga + ushirikina ndio tatizo.
 
Kuna mtu ana PHD lakini alishindwa kutamka "Entrepreneurship"akaishia kusingizia eti si lazima msomi kujua Kiingereza. Sa mbona huyu kashindwa kuapa kutokana na wasiwasi anafukuzwa? Uonevu tu![emoji15][emoji15][emoji15]
Alisema,,,eeee,ndiyo,hiyo hiyo mliyoitaja.
 
Jambo dogo lakini limeanzishiwa nyuzi kibao! Hii inaasiria kuwa watu wengi (nchini) wana misongo ya mawazo, kikitokea kitu kidogo tu wanapata fursa ya kutapika
Ha ha ha, unaweza kuwa sahihi.
 
Kuna mtu ana PHD lakini alishindwa kutamka "Entrepreneurship"akaishia kusingizia eti si lazima msomi kujua Kiingereza. Sa mbona huyu kashindwa kuapa kutokana na wasiwasi anafukuzwa? Uonevu tu![emoji15][emoji15][emoji15]
Intapritinyua.....kwa kiswahili mnaita ujasiriamali.
 
Kuna mtu ana PHD lakini alishindwa kutamka "Entrepreneurship"akaishia kusingizia eti si lazima msomi kujua Kiingereza. Sa mbona huyu kashindwa kuapa kutokana na wasiwasi anafukuzwa? Uonevu tu![emoji15][emoji15][emoji15]
 
Habari wakuu

Leo nimeona kituko ambacho sio cha nchi hii ,hadi mimi niliekuwa naangalia nimeona aibu

How comes,mtu unashindwa kuaapa tena kwa kiswahili ,mbaya zaidi mtu kasoma ana master's ya science

Hadi mheshimiwa raisi kasema hio degree yake ichunguzwe, huenda hata hivyo vyeti ni fake

TAMISEMI angalien mfano wa mh raisi, mnamwaibisha sana, yale majina hewa ya walimu mliyoyatoa nasema hivi ipo siku tu mtakula matapishi yenu.

Ninaiman kabisa tamisemi mkiambiwa mkalete Wale watu mlioajiri na vyeti vyao orginal kuanzia secondary mpaka chuo kikuu, hawana Wale watu

Mh raisi pita tamisemi, narudia tena pita tamisemi kuna wahuni ambao hawajitambui wanaendesha hio taasisi, mpaka watanzania wanaichukia nchi yao.

Uzi tayar
Hivi tatizo ni kutokujua kusoma au kutetemeka na uoga?
 
Kuna mtu ana PHD lakini alishindwa kutamka "Entrepreneurship"akaishia kusingizia eti oooh!si lazima msomi kujua Kiingereza. Sa mbona huyu kashindwa kuapa kutokana na hofu anafukuzwa? Uonevu tu![emoji15][emoji15][emoji15]
 
Huyo jamaa kafunga mwaka 2020 kwa hicho kituko chake.....hata hiyo kazi ya ubunge hataifanya kwa weledi.....huyu jamaa anahitaji uangalizi mkubwa sana maana anaweza kujinyonga

Emire Durkheim concept yake ya Suicide inanionyesha ivyo........
 
Back
Top Bottom