Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Hii imetokea leo ambapo naibu waziri Fransis Ndulano alishindwa kusoma vizuri hati ya kiapo akapewa nafasi ya kurudia bado akawa anakwamakwama hadi akaambiwa akakae kwenye kiti chake. Sijui ataapa siku yingine au ndio kibarua kimeota nyasi. Sasa sijui ni uoga au wamemroga.

Fundisho:
Tuwafundishe watoto wetu kujiamini pamoja na elimu walizo nazo confidence ni muhimu.
[emoji23]
 
Kimeota nyasi tayari. Na atachunguzwa
 
Kama hivyo ndivyo wenye hizo PhD za kule mahala hawawezi kusoma hata lughà yetu adhimu labda viapo sasa viandikwe Kisukuma au Kigogo maana Ndugai wa kutafsiri hakosekani kwenye Sherehe hizo. Darasa la 7 mwanafunzi anamaliza hajui kusoma na kuandika,

anakwenda Sekondari anamaliza kidato cha 4 hajui kusoma na kuandika anakwenda kidato cha 6 anamaliza hajui kusoma na kuandika anakwenda Chuo Kikuu anamaliza hajui kusoma na kuandika anapata PhD yake ya kule anapewa kiapo hajui kusoma na kuandika anawekwa pembeni aapishwe baadaye bila kujua kusoma na kuandika. Bure elimu, bora elimu!
 
Inawezekana hakujiamini tu, angefanya rehearsal kama ana shida hiyo na labda angemwona mwanasaikolojia na kumwomba Mungu.

Kwa Mwanasiasa mkongwe mpaka kufika level ya kugombea ubunge sidhani kama ana hiyo shida ,huyo atakuwa kapigwa KIPAPAI na KIGWAX_NJE_YA_BOX.
 
... kila mda "Anasema balaza la mpinduzi badala la mawaziri" katia haibu sana mpaka mawaziri wenzie wamemcheka..
Ni tatizo la nchi, mwingine anaweza akawa na tatizo katika kusoma, na mwingine katika kuandika. Tena afadhali yeye alikuwa LIVE na hivyo makosa yalionekana immediately na hakupata fursa ya kuedit, wengine wanayo fursa ya kuandika na kuedit kabla ya kupost lakini bado wanatia "haibu"
 
Back
Top Bottom