monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Mkurugenzi wa geita salamu zishamfikia na v8 la 400m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo Ukweli WenyeweDahh..... Mbaya sana hii. Haijakaa vizuri.
Kwani hujui kura ziliibwa?Aliwezaje kuomba kura jimboni kwake yule
Uwaziri hauna chama!Niwa chama gani?
Kwenye miti hakuna wajenziDahh... Jamaa kakosa kazi hivi hivi. Anateuliwa Naibu Waziri Mwingine. Anabaki na Ubunge Pekee.
Huo uchawi kibokoAmeshatenguliwa tayari,waallah uchawi upo,hicho kipapai alichopigwa ni kiboko
Hiyo aibu najaribu kuvaa viatu vyake naona havienei kabisa.Ndugu jamaa na familia utawatizama vipi.
aibu Sana umeenda na mke kuapishwa uwe waziri halafu kiapo una failHatimaye tonge limedondoka likiwa linaelekea mdomoni,,
Kusoma tu anashindwa ataweza kuongoza kweli,, sielewi hata huo ubunge aliupataje?
Kama mtu anakuwa muoga kwa watanzania wenzie, anashindwa kuapa (yaani kusoma Kama ilivyoandikwa tena kwa kiswahili). Je wakija wazungu ataweza kuongea nao
Haa😁😂😅😄Kwenye miti hakuna wajenzi
Na wewe acha kuwa mjinga yani unampongeza mtu alichagua naibu waziri asiye jua kusoma?Magu hapo nampa kongole, hatuwezi kuwa na waziri ambaye hata kuji commit mbele ya mteuzi wake kashindwa
Yaani bila kurembaIla mh Rais kauzu sana..kampiga chini live bila chenga..
It's not necessarily kuwa ni kihiyoDu..... Naibu Waziri ni Kihiyo?
Na lile gari mnipatie mimi wajameni, japo kwa siku moja tu!