mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Murtaza Kakamata mdomo😄😄😄😄Kumbe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Murtaza Kakamata mdomo😄😄😄😄Kumbe!
Keshatumbuliwa tayari.. tutateua mwingine anayejua kusoma vizuriAtaapishwa tena
Kafutwa Kazi Tayari
Mwenda zake naibu waziriKapigwa chini live [emoji3][emoji16][emoji3]
Mwenda zake naibu waziriKeshatumbuliwa tayari.. tutateua mwingine anayejua kusoma vizuri
Amefutwa Kazi Tayari Kwenye Nafasi IliyomshindaHii sasa ni kali.
Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"
Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo kuwekwa pembeni ili waapishwe wengine.
Sijajua manaibu waziri hawa wana mchecheto gani!
Maendeleo hayana vyama!
Hata TALE TALE aisingepata viti maalumu nadhani Jukwaani angekuwa anasoma karatasi akifanya kampeni.Alishinda uchaguzi au Ni wale waliobebwa kuanzia kwa wajumbe Hadi ballot.
Hahahha, jamaa kashamtapika tayarii
Serikali Ya Viwanda Imetamka Inaifuatilia Masters Yake Kujua Ukweli Na Kushindwa Kusoma Vema KiapoNimecheki mkuu tena ana Masters ya Finance hahahaa