Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ha haha sawa kabisaTusifokee watoto kwa ukali tunawajengea nidhamu ya uoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haha sawa kabisaTusifokee watoto kwa ukali tunawajengea nidhamu ya uoga
Wewe mbona umeandika haibu badala ya aibuI gree with you, confidence is more important than education. Nafuatilia ha matangazo mubashara.. Kiukweli huyu bwana katia haibu, ety kajitetea macho yanamsumbua ina maana hajui kuwa anatatizo LA macho akajisave na mawani..
Kuna mama mmoja ye anaongelea ulimini yeye kila mda "Anasema balaza la mpinduzi badala la mawaziri" katia haibu sana mpaka mawaziri wenzie wamemcheka..
Tujifunze kujiamini jamani.. Kijiamini kunaleta Uhuru wa maisha
Asante sana. Hii athari ya fimbo hata ukiimba namna gani watanzania hawatakuelewa hata kidogo. Fimbo zinaathiri sana watu ukubwani ni vile watu hawajui tu. Siyo kutojiamini tu ila kuna athari nyingine nyingi tu.Hamnaga rehearsal ya kuapishwa? Fimbo mashuleni zinafanya tuwe watu wazima tusiojiamini. Muda wote unakuwa muogamuoga tu.
Watanzania elimu yetu ni mbovu sana. Mtanzania ujanja wake uko kwenye kupiga gumzo mitaani na kubishana mambo ya low level. Mtu kama Kibajaji akisimama jukwaani huko vijijini anaweza kubwatuka maneno mengi tu ila kuongea kwenye watu wanaojielewa hawezi.Aliwezaje kuomba kura jimboni kwake yule
Sasa ndo mtu ameshakuwamkubwa kama waziri hivyo na hajiamini..atajifunzaje kujiamini?Tusiwe wakali sana kwa watoto tusiwatishe bali tuwaelekeze nao watajiamini
Alishinda uchaguzi au Ni wale waliobebwa kuanzia kwa wajumbe Hadi ballot.Hii imetokea leo ambapo naibu waziri Fransis Ndulano alishindwa kusoma vizuri hati ya kiapo akapewa nafasi ya kurudia bado akawa anakwamakwama hadi akaambiwa akakae kwenye kiti chake. Sijui ataapa siku yingine au ndio kibarua kimeota nyasi. Sasa sijui ni uoga au wamemroga.
Fundisho:
Tuwafundishe watoto wetu kujiamini pamoja na elimu walizo nazo confidence ni muhimu.
Huo uoga sasa ndo naupunguzaje?Punguza uoga na kiwewe, maisha ni hayahaya.. Ila mishe za kujiona kila ukifanyacho una-wrong ndo sababu ya haya yote
Alishinda uchaguzi au Ni wale waliobebwa kuanzia kwa wajumbe Hadi ballot.
Wamuapishe bila camera ndani ya chumba kusiwe na watuAtaapishwa tena
Hapo sijui sasa ikulu itaamuaKitumbua kimeota mchanga au bado atabaki waziri?
Kapigwa tunguli huyo.Kama Yule WA viti maalumu CCMKigwa bado yuko tungurini!
Kafutwa Kazi TayariHii imetokea leo ambapo naibu waziri Fransis Ndulano alishindwa kusoma vizuri hati ya kiapo akapewa nafasi ya kurudia bado akawa anakwamakwama hadi akaambiwa akakae kwenye kiti chake. Sijui ataapa siku yingine au ndio kibarua kimeota nyasi. Sasa sijui ni uoga au wamemroga.
Fundisho:
Tuwafundishe watoto wetu kujiamini pamoja na elimu walizo nazo confidence ni muhimu.
Hakuna kitu kapigwa chiniAtaapishwa tena